Kuna mwana siasa yuko kwenye hali hii sasa hivi

Some people think that being in government for a long time is a bad thing. But the more you stay, the more you learn. I am now an expert in governance-Yoweri Kaguta Museveni
Ninasikia Uganda hata ukiwa na mkeo chumbani mnamuongelea Museveni, kesho unaitwa kuhojiwa na usalama wa Taifa.
 
Ninasikia Uganda hata ukiwa na mkeo chumbani mnamuongelea Museveni, kesho unaitwa kuhojiwa na usalama wa Taifa.
Hata mkikutwa wawili au watatu mmesimama barabarani mtahojiwa kuwa mnajadili nini😆😆😆
 
Mojawapo ya vitu vinavyonishangaza kuhusu wewe ni kufahamu mambo mengi, ya nyanja nyingi. Your so amazing.

Wewe ni Mojawapo ya watu naotamani kukutana nao mubashara
 
Mojawapo ya vitu vinavyonishangaza kuhusu wewe ni kufahamu mambo mengi, ya nyanja nyingi. Your so amazing.

Wewe ni Mojawapo ya watu naotamani kukutana nao mubashara
Kiinglish chako sasa!
Mkikutana mtumie kiswahili tu kuepuka pollution.
 
Afadhali utangaze kung’atuka ubaki na heshima yako. Unaweza kupata msaada wa kuondolewa kwenye makali. Uking’ang’ania unaweza kuishia kama Gadafi.
Unajidanganya sana kudhani Mzee baba yupo kwenye hali kama hiyo,kwa wapinzani wake sawa.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…