Kuna mwanachuo kaandikiwa taarifa hii hajui kama kapata mkopo au kakosa

dugu hiyo statement haieleweki, hakuna mkopo hapo! nashauri uwapigie Heslb moja kwa moja upate mrejesho kamili! contact zao zipo website ya Heslb! Chakua hatua haraka kukosa mkopo inatesa sana hasa kama huna alternative source ya fedha.
 
Statement ikiwa na ambiguity huwa naona kama mkopo mtu anakuwa kakosa
 
Dogo langu yamemkutata haya haya
Sijui nmshauri nn aisee
 
Hapo sijui sasa ndo kakosa maana taarifa haieleweki na alocation ndo zishafungwa
Mimi naona taarifa yao imekamilika, kwamba kwa mwaka wa masomo 2021/2022 wamesha kamilisha ugawaji mikopo hivyo sahivi wanapokea ushauri nini cha kurebisha kwa mwaka ujao wa masomo 2022/2023
Kwa hiyo kwa sasa kama hakuna allocation yoyote kwenye account basi ndio mpaka mwakani hiyo
 
dugu hiyo statement haieleweki, hakuna mkopo hapo! nashauri uwapigie Heslb moja kwa moja upate mrejesho kamili! contact zao zipo website ya Heslb! Chakua hatua haraka kukosa mkopo inatesa sana hasa kama huna alternative source ya fedha.
Inaumiza sana kukosa hiyo fedha hasa kwa mtu mwenye uhitaji. Ndoto nyingi sana za watu zimeyeyuka sababu ya kukosa tu huo mkopo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…