kuna mwanajamii mwenye hii taarifa

umesikia toka wapi?? na kwanni usingepata confirmation yoyote kabla ya kuanza kuwaumiza watu na presha hapa ?.
 
umesikia toka wapi?? na kwanni usingepata confirmation yoyote kabla ya kuanza kuwaumiza watu na presha hapa ?.
Ningekua na uwakika hapo sawa mtu mwenyewe aliyeniambia alisema kwenye week hii sa ndo maana nikauliza mkuu
 
Muulize njia waliotumia!! Mtandao or magazeti then gazeti gani? Yaani maswali incomplete sana!
 
Mi naona kama huna jibu mkaushie tu aliyeuliza swali. Hivi nikisikia watu wanaongea jambo fulani kwenye daladala nitapata uthubutu wa kuwauliza wamejulia wapi?

Hapa ndio kisimani, amesikia fununu anaziweka ubaoni ili kama kuna mwenye full data amwage.
 
Alisema itatangazwa kwenye daily news sa cjasoma nikauliza ili nijue kama kuna m2 kaona
 
Kazi zimetangazwa kwa watu wa ndani ya NIDA...sasa na wa nje tunataka?....SAMAHANI LAKINI.
 
Sasa hao wafanyakazi afu watangaziwa nafasi za kazi then wakishapata hizo nafasi walizokua wanashikilia nanai atazicover? ufafanuzi pls.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…