Kokwa kavu
JF-Expert Member
- Jan 3, 2012
- 220
- 41
Nasikia NIDA wametangaza kaz ni kweli wanajamii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ningekua na uwakika hapo sawa mtu mwenyewe aliyeniambia alisema kwenye week hii sa ndo maana nikauliza mkuuumesikia toka wapi?? na kwanni usingepata confirmation yoyote kabla ya kuanza kuwaumiza watu na presha hapa ?.
Nasikia NIDA wametangaza kaz ni kweli wanajamii
Ni kweli zimetangazwa lakini ni kwa wafanyakazi wanaofanya kazi humohumo yaani Internal advertisement.
Ni kweli zimetangazwa lakini ni kwa wafanyakazi wanaofanya kazi humohumo yaani Internal advertisement.