VINICIOUS JR
JF-Expert Member
- Dec 29, 2022
- 208
- 518
Kwema wakuu.
Kama mada inavojieleza hapo juu, kuna mwanamke nimekutana nae mara mbili hivi karibuni sasa juzi hapaa nimemwambia irudiwe tena akanijibu kuwa show zangu kali ukizingatia mara zote nimepiga kimoja kimoja tu sasa najiuliza inakuaje anasema show zangu kali wakati sijampa dose kamili au ananichora?
Nawasilisha.