Kuna mwanamke kaninyima game tena akisingizia show zangu ni kali

VINICIOUS JR

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2022
Posts
208
Reaction score
518
Kwema wakuu.

Kama mada inavojieleza hapo juu, kuna mwanamke nimekutana nae mara mbili hivi karibuni sasa juzi hapaa nimemwambia irudiwe tena akanijibu kuwa show zangu kali ukizingatia mara zote nimepiga kimoja kimoja tu sasa najiuliza inakuaje anasema show zangu kali wakati sijampa dose kamili au ananichora?

Nawasilisha.
 
Huyo ana kunafikia anashindwa kukuambia tuu umemchafua huwezi chochote. Siku zote mwanamke ukimpa show kali atatamani yeye mwenyewe irudiwe bila hata ya wewe kumwambia irudiwe.. ukiona umenyandua mwanamke alafu anakupiga chenga kukupa show nyingine elewa hakuna ulichofanya awali zaidi ya kumchafua ni vile anakukwepa kiakili hataki kukuropokea usije ukajisikia vibaya
 
Lipia tangazo
 
Ukiona mwanamke umepiga nae game then hataki irudiwe tambua tu kuwa Low Performance!!
 
Hii nchi ina vijana wa ovyo sana! Hawana mchango wowote katika taifa!
 
Anakuchora aisee jitafakar ,,ww upo daslam?
 
wewe ni mzembe kazini, hapo aanakujaza upepo, ukiwa na shoo kali mwanamke hakuambii nakuja unakuta amekuja mwenyewe, kama unaishi geto basi atakuja na mazagazaga yote ya kupika ili mle mshibe halafu ule, mwanamke anakuambia eti una show kali hajakununulia hata zawadi, yaani ukiwa na show kali zawadi inanunuliwa bila taarifa haya mambo D mbili hazitoshi kuyatambua mpaka uwe na D 4
 
Sasa kama show kali ndio akunyime😂
Jiongeze ni aidha ulimpaka shombo ama haujui kumsukumia ukuni, maandalizi ni zero, we ulimparamia na ukijua sifa ni kuingiza toa tu, mwishowe ikawa kero kwake, umepiga pumbu muda mrefu usio na faida.
 
LIPIA TANGAZO
 

Hela ulimpa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…