Kuna Mwanamke nampenda humu hadi Malaika wa Mbinguni wanajua, je nivunje ukimya ili afurahi?

Kuna Mwanamke nampenda humu hadi Malaika wa Mbinguni wanajua, je nivunje ukimya ili afurahi?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Leo roho yangu inaniambia kabisa kwamba nimtaje na najua kama nikimtaja basi atakuwa ni mwenye furaha isiyo ya kifani kwani ama hakika ' Kupendwa ' na ' Purely Talented, Charismatic Fella and a Game Changer ' GENTAMYCINE ni bahati kubwa na si kitu cha kawaida.

Je mpo tayari nimtaje jamani?

Nasubiri majibu yenu.

Nawasilisha.
 
kama nikimtaja basi atakuwa ni mwenye furaha isiyo ya kifani kwani ama hakika ' Kupendwa ' na ' Purely Talented, Charismatic Fella and a Game Changer ' GENTAMYCINE ni bahati kubwa na si kitu cha kawaida.
Love is blind, Gentamycine.

Unajuaje kama atafurahi?. Labda kama una I'd zaidi ya moja humu, uitumie hiyo nyingine kujijibu ili kutuhadaa. Kupenda ni gharama, ni kujitoa sadaka.

You're not afraid to mention. You're afraid of not Loved back.
 
Nikirudi humu rasmi hapo baadae Saa 8 na Nusu juu ya alama nitamtaja ila kama nikiona Watu wengi mnanishawishi nimtaje na najua atafurahi mno kwani itakuwa ni bonge la suprize Kwake.
Ndo mara ya kwanza yy kupendwaaa au

Mmeshachat huko pm mmeamua kuja kuanzisha uzi huku atafurah kwa sababu mmeshapanga

Sawa ninawaandalia keki mkishatajana mlishane mambo yaishe
 
Back
Top Bottom