Balozi Mbumbumbu
JF-Expert Member
- May 29, 2016
- 405
- 356
Mkuu G,vitoweo vyote vya kitaa wewe bado umepata nafasi ya kupenda kitoweo cha kimaandishi humu jamvini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naemda kutembea chit chat maaa, Akimtaja nitag plsUnaenda wapi tena jaman asubuh hiii
Ni Stamina, kurlzawa.Hadi shoga ana mpenzi?
Huu mstari sjui ni wa msanii gani?
Nakufata [emoji125] [emoji125] [emoji125]Naemda kutembea chit chat maaa, Akimtaja nitag pls
Hahahaaaaaaa. Lol[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124] napita, Ntarudi saa nane na nusu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahaaaaaaa. Lol
Yamekuwa ya Instagram.
Njoo tuu maaNakufata [emoji125] [emoji125] [emoji125]
kwa sababu kwa akili zako kafungua huu uzi?? si kila mwana jf anafungua kila uzi hata kama yuko kwa jukwaa hiloNikirudi humu rasmi hapo baadae Saa 8 na Nusu juu ya alama nitamtaja ila kama nikiona Watu wengi mnanishawishi nimtaje na najua atafurahi mno kwani itakuwa ni bonge la suprize Kwake.
Hahaaaa. Nasikiaga yule dada wa wengi kule akisema namuumbua mtu saa sita usiku basi watu hawalali wanasubiri saa sita wapate ubuyu.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Emmy
Cjafkia uzezeta wa kuanzishai uzKaanzishe na wewe uzi wako usipende kitongaaaa
Hahahaaa. Aiseee.Cjafkia uzezeta wa kuanzishai uz
Uchwara kama hz
Yan nianzishe uz kisa mdada wa jf
Kwan. Pm ya kaz gani
Mbona umecomment upupu hapo wa kulia lia sijui nawapenda wanawake watatu hata pm sijawahi enda haga hujawahi comment kwenye nyuzi zaoCjafkia uzezeta wa kuanzishai uz
Uchwara kama hz
Yan nianzishe uz kisa mdada wa jf
Kwan. Pm ya kaz gani
Haa haa haaHahahaaa. Aiseee.
Nasikiaga wengine tunakujaga wenyewe huko eti. Unakuta hata hamjatuita. Teh.
Cjacoment Kwa kgezo chaMbona umecomment upupu hapo wa kulia lia sijui nawapenda wanawake watatu hata pm sijawahi enda haga hujawahi comment kwenye nyuzi zao