GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kaanzishe na wewe uzi wako usipende kitongaaaaMe wapo wa 3 af Kila nlifkiri
Kwenda pm naona ntakua najisumbua tu maana cjawah hata kuwapa salam
Kwenye pm zao
Mbona umetoka nje ya madaaaaDemiss wa GuDume
Love is blind, Gentamycine.kama nikimtaja basi atakuwa ni mwenye furaha isiyo ya kifani kwani ama hakika ' Kupendwa ' na ' Purely Talented, Charismatic Fella and a Game Changer ' GENTAMYCINE ni bahati kubwa na si kitu cha kawaida.
asije akakutaja hapa..Mbona umetoka nje ya madaaaa
Unanitafuta ugomviii sawa tu
Hunipendi mdogo wako huyo ni shemeji yako kazi kwako
Aiseee unanizibia ridhiki ya upendoooasije akakutaja hapa..
Ndo mara ya kwanza yy kupendwaaa auNikirudi humu rasmi hapo baadae Saa 8 na Nusu juu ya alama nitamtaja ila kama nikiona Watu wengi mnanishawishi nimtaje na najua atafurahi mno kwani itakuwa ni bonge la suprize Kwake.
Upendo unaopewa na wengine unatoshaAiseee unanizibia ridhiki ya upendooo
[emoji1][emoji1][emoji1]Ndo mara ya kwanza yy kupendwaaa au
Mmeshachat huko pm mmeamua kuja kuanzisha uzi huku atafurah kwa sababu mmeshapanga
Sawa ninawaandalia keki mkishatajana mlishane mambo yaishe
Upendo ninao pewaa na Gudume unatoshaaa kabisaaaUpendo unaopewa na wengine unatosha
[emoji122][emoji122][emoji122]Upendo ninao pewaa na Gudume unatoshaaa kabisaaa
Yan huyo atakayetajwa labda awe under 18 ila kuzidi hapo huo utakuwa upendo[emoji1][emoji1][emoji1]
Unaenda wapi tena jaman asubuh hiii[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124] napita, Ntarudi saa nane na nusu