[emoji23] [emoji23] [emoji23] muite aje[emoji23] [emoji23] [emoji23] I hope
Ataniongezea credit kwako[emoji736] [emoji736]
Na co chumvi
Embu mmedication ile songAcheni uoga nyie wanaume unampenda mtu mwambie tu ya nini kufwa na kitu moyoni
Emmyta kuja na skar[emoji23] [emoji23] [emoji23] muite aje
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124] napita, Ntarudi saa nane na nusu
hongera...Kweli tuko kawaida ila mimi nilikuaga mlevi wa insta jamani. Sasa hivi nimekua mlevi wa humu hata insta mara ya mwisho kupost sijui ilikua lini. Ninachopendea humu kujifunza. Nasoma vitu vingi ambavyo kawaida nisingevijua. Siangalia taarifa ya habari wala sisikilizi, sisomi magazeti. Bila kuwa kwenye jamii kama hii vitu vingi vingenipita. Nikiwa kwenge groups nikianza kuchangia mada wanawake wengine wanabaki kimya maana naongeaga na wanaume tu. Kingine huku kunapunguza sana stress acha tu. Ukikutana na mtu mkazinguana story mbili tatu siku imeisha.
Eeeh Pole jmn lknnipo majukum tu
Ipi sasa si unajua wameimba nyimbo nyingi hao au ya wanaume kama mabintiEmbu mmedication ile song
Ya mwana fa ft Jay dee
Ya nini mwenza?hongera...
[emoji3][emoji3]Khaaaa
usijal nitakuwa nakusalimiaEeeh Pole jmn lkn
A hata Salam tu itaonesha
bado umeshikilia mtima wang
Jakitoo hii avatar n ya nchi hiiNtakutag maa wewe tenaa[emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125]
kuacha insta na kujua umuhimu wa jfYa nini mwenza?
BADO DAKIKA 17 ...................Ha ha ha ah kasema saa nane atakuja humu sali sana usiwe wewe,
Hyo shikamoo ifunge ntaipitia jion
Tunaendlea kusubirBADO DAKIKA 17 ...................
Naskia nmeporwa nafacusijal nitakuwa nakusalimia