Kuna Mwanamke nampenda humu hadi Malaika wa Mbinguni wanajua, je nivunje ukimya ili afurahi?

Kuna Mwanamke nampenda humu hadi Malaika wa Mbinguni wanajua, je nivunje ukimya ili afurahi?

Unamjua nje ya humu ndani au ?

Maana usije ukadata na profile picha ya jina flan unaweza ukajikuta unapendwa wewe
 
Kweli tuko kawaida ila mimi nilikuaga mlevi wa insta jamani. Sasa hivi nimekua mlevi wa humu hata insta mara ya mwisho kupost sijui ilikua lini. Ninachopendea humu kujifunza. Nasoma vitu vingi ambavyo kawaida nisingevijua. Siangalia taarifa ya habari wala sisikilizi, sisomi magazeti. Bila kuwa kwenye jamii kama hii vitu vingi vingenipita. Nikiwa kwenge groups nikianza kuchangia mada wanawake wengine wanabaki kimya maana naongeaga na wanaume tu. Kingine huku kunapunguza sana stress acha tu. Ukikutana na mtu mkazinguana story mbili tatu siku imeisha.
hongera...
 
Back
Top Bottom