HahahahahahaaaaaHahaaaa. Nasikiaga yule dada wa wengi kule akisema namuumbua mtu saa sita usiku basi watu hawalali wanasubiri saa sita wapate ubuyu.
Umenivunja mbavu we mtoto.... sio vizuri hivyoHaya mtajeee mwanaume kulia lia kwenye mapenz huo sio uanaume
Zali hilo litakuja na hela au?Ha ha ha tulia zali linaweza kukuangukia[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Ha ha haWanakua wanasoma wee akianza mmoja unaona wote wanakuja na mibarua mireeefu ya ushauri.
Mzee wa Ini[emoji1][emoji1][emoji1][emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Huwezi jua mm mwenyewe ninampango wa kukutaja sema naogopa manundu[emoji1] [emoji1] [emoji1]Zali hilo litakuja na hela au?
Anhaa....Akinitaja mimi halafu nimkute ana mapenzi ya kimura wallah nitampenda mpaka aseme nilikua wapi. Mie na muraz damu damu yani.
usijal kwa hiloNakutizama hivyoo..
Hapana mkuuJakitoo hii avatar n ya nchi hii
Ya vyuma bla Gris kweli
Lemchepuko wangu binafsi unapenda ubuyu... khaa...Saa nane kamili
Umeenda na mda mzee baba [emoji1] [emoji1] [emoji1]Saa nane kamili nimtaje, na nusu mbali sana
Its time lets wait for the revealLoading....
Kasema nane na nusuUmeenda na mda mzee baba [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Umejibu kwa upole saana, utakuwa unampenda sana huyu jamaa.usijal kwa hilo
Nasubiri saa nane na dk Sita sasaMzee wa Ini[emoji1][emoji1][emoji1]
HopsKasema nane na nusu
Bado dakika 22 [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nasubiri saa nane na dk Sita sasa
Saa hizi kuna watu wametega macho kama popo[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Kasema nane na nusu