Kuna Mwanamke nampenda humu hadi Malaika wa Mbinguni wanajua, je nivunje ukimya ili afurahi?

Kuna Mwanamke nampenda humu hadi Malaika wa Mbinguni wanajua, je nivunje ukimya ili afurahi?

Lemchepuko wangu binafsi unapenda ubuyu... khaa...

Nasubiria nione kama utatajwa wewe ili nifanye maamuzi magumu
Mkuu Naona Una Wasiwasi....hata Akitajwa Haipunguzi Kuwa Mchepuko wako....tena ndo Inaongeza Ladha na Ujasiri wa kuendelea kuwa Mchepuko!
Hatakiwi Kuwa Njia kuu!
Kwani Mchepuko Anaumaaa???
 
Back
Top Bottom