Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
RIP mama yanguAnza back MAMA KWANZA HAWA WENGINE MANUNGAYEPE![]()
Usisahau kututajia na usiowapenda ili tuone ujasiri wako ukoje.Leo roho yangu inaniambia kabisa kwamba nimtaje na najua kama nikimtaja basi atakuwa ni mwenye furaha isiyo ya kifani kwani ama hakika ' Kupendwa ' na ' Purely Talented, Charismatic Fella and a Game Changer ' GENTAMYCINE ni bahati kubwa na si kitu cha kawaida.
Je mpo tayari nimtaje jamani?
Nasubiri majibu yenu.
Nawasilisha.
Ni ya kwa trumph ukoNi ya wap hii I hope itakua ya
Rwanda
Itakuwa anataka kutaja mali ya mtu mbona anatuweka hiviHadi hapa bado hajatajwa na muhusika mwenye uzi anapitia comment taratibu.
Nabaki na msimamo wangu niliousema kabla tunasubiri kama atatajwa au la.
Heee naiombaNi ya kwa trumph uko
Ichukuwe tuuu mkuuuHeee naiomba
Akitajwa niite kwa pmHadi hapa bado hajatajwa na muhusika mwenye uzi anapitia comment taratibu.
Nabaki na msimamo wangu niliousema kabla tunasubiri kama atatajwa au la.
PM Tena?Akitajwa niite kwa pm
Hahahakwahyo kumbe nimeharbu utaratbu ngoja kwanza atajwe kesho na mie nikusuprizee
Tusubiri....Itakuwa anataka kutaja mali ya mtu mbona anatuweka hivi
HahahaPM Tena?
Tangu ufuatilie uzi hujagundua chochote kinachoendelea humu?Akitajwa niite kwa pm
Mie nmeuliza tuHahaha
Nimesahau bhana... Halafu punguza umakinii
Kwan kuna nn mkuu?Tangu ufuatilie uzi hujagundua chochote kinachoendelea humu?
Sijagundua jirani!!Tangu ufuatilie uzi hujagundua chochote kinachoendelea humu?