Kuna Mwanamke nampenda humu hadi Malaika wa Mbinguni wanajua, je nivunje ukimya ili afurahi?

Don't be a loser. Geneus ladies dislike weakness guys. Stand still. Come on! Nalendwa wako kabisa.

Malkia wa Uingereza na Britons wote wanalijua hili neno lako la ' Geneus ' uliloliandika hapa Mkuu?
 
Bwana wewe. Huyo malkia anatoka sayari gani(

Sasa hivi namtaja Mkuu endelea kuwepo JamiiForums na usiwaze hata ku log out na kama kuna Kazi nyingine yoyote unaifanya tafadhali iache Kwanza na usubirie kuona Mwanamke anayeutesa moyo wa GENTAMYCINE humu Jamvini.
 
Key board mkuu.

Na hii ' Key board ' yako uliyoiandika hapa nayo ndivyo ambavyo inatakiwa kuandikwa? Ina tofauti na ile ' Keyboard ' tuliyoizoea? Hakuna lugha ninayoipenda kama Kiswahili na ninayoigopa hadi kuichukia kama Kiingereza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…