hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,678
- 63,304
hahaa binafsi naona zile sifa tajwa pale juu zinakulenga wewe tu mkuu so huwezi kuishi nje ya mstari wazile sifa ...kuhusu shughuli yake ya humu ndani ukishakuwa wa ubani wake yakupasa ufumbe macho tu ktk baadhi ya mambo yake ..ujifnye kama umepofuka hvi ili maisha yaendeleeHahaha!, uiwiii!, hearly wewe utafanya nikimbie.
Huyu bwana shughuli yake humu ndani sio ya kispoti spoti...lol