Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Malizia na hide my id plz..Napenda tu kuchukua nafasi hii adhimu kuwashukuruni nyote ambao mmekuwa macho humu JF muda wote hadi sasa hivi mkisubiri kwa hamu sana kumjua ni Mwanamke gani huyu ambaye pia ni JF Member aliyepata ' bahati ' kubwa ya Kupendwa na Kukubalika ' Kimahaba ' na Mimi GENTAMYCINE.
Niwaombe tu kama ambavyo mmekuwa wavumilivu kwa masaa haya matatu yaliyopita basi nawaomba sasa muwe tena wavumilivu kwa masaa mengine sita yajayo kwani ifikapo muda wangu ambao huwa nakaa muda mrefu humu JF Saa 4 hadi Saa 6 usiku ndipo nitamtaja rasmi hivyo niwaombeni tu Members wote kuwa msilale leo au kama unajijua kuwa usiku huwa unasinzia mapema basi lala tu sasa hivi ili usiku wa leo umjue Mwanamke ambaye anasumbua ' akili ' za GENTAMYCINE na leo naenda kumtaja hadharani hapa.
Kama huna bundle la kutosha nakushauri nunua bundle sasa hivi na liwepo kwani leo nimedhamiria kabisa kuvunja ukimya na huyo Mwanamke nitakayemtaja humu akae akijua kuwa nimeshamfuatilia mwanzo mwisho na namjua hadi anakofanya Kazi, Wazazi na Ndugu zake wote japo Yeye hanijui ila nimehangaika miaka yote kutafuta Mwanamke ambaye ataendana na IQ zangu na ambaye sitoishia tu kumuita Mke bali kila mara nitakuwa namuita Malkia kwani kiukweli ana sifa zote za umalkia.
Kuonyesha kwamba sitanii na nimedhamiria ni kwamba huyo Mwanamke umri wake ni kati ya miaka 30 hadi 35 tu, anafanana karibu kila Kitu na Mwanamke ambaye mpaka leo bado sijaona wa kumpita kwa Urembo Jennifer Lopez. Lips zake ni kama za Hamisa Mobetto na sauti yake ni ya kudekadeka kama vile ya Zari au Wema Sepetu na kwa Mkoa anaoishi sasa ni huu wa Dar es Salaam Wilaya ya Maulid Mtulia.
Nazidi kusisitiza kwamba nitakaporudi tena humu leo usiku wa Saa 4 na kuwepo humu hadi Saa 6 kama kawaida yangu ndipo nitaweza kumuweka hadharani na najua huyo Mwanamke atakuwa ni mwenye furaha ya ajabu, hatoamini ila akae akijua kuwa GENTAMYCINE nimezunguka kote lakini Kwake nimefika na nilifanya Kazi ' pevu ' sana na ya ziada mno hadi kuweza kuijua ID yake humu JF bila hata ya Yeye kujua ila ilinibidi nitumie hizo mbinu zote kwakuwa nimempenda kidhati na siyo kumchezea na kumtesa. Awe tu tayari kuolewa na Mzanaki Mtutsi kutoka Mara Tanzania na Gisenyi Rwanda aliyechanganya na Mmakuwa Mmwela kutoka Mtwara na Lindi.
Na kuanzia sasa awe tayari na huru kabisa kujiita Mrs. GENTAMYCINE.
Ahsante ShunieNiache kulala nije kukesha jf nalipwa au yaan wataokesha hawana pa kulala au wanalala kwa shemeji zao halaf nilichoshtukia Genta anacheza na akili zetu hakuna mwanamke anayempenda wala ninii kashaona watu wanapenda ubuyu
Shunie, emmyta wameanza kufuata nyayo zangu, na wewe fanya kuzifuata please.Lakini kuibia kupo
Kumbe uzi umegusa wengiShe is taking my breath away!
Tutembeapo barabarani kuna makutano iko siku tutakutana.
Mi ni barafu ye ni jua mi nayeyuka tuu!
My soulmate wangu jamani daahhh!
Naamini tukionana each will feel somethin special.
Anaanza na B.
be with me.
Baby u drivin me crazy
My life is nothn without u
Be my love.
Be my wife.
Be my baby mama.
Be my everthng.
Love bKumbe uzi umegusa wengi
It can't beLove b
Hela tu unapata aise we ruhusuUnitaje bure bure wakati hunipi hela sitaki. Utanibania bahati bure. Bora unipe hela ukinitaja hata haitaniuma sana.
Nakupenda na nina husudu mambo yako.Nimefanyaje mkuu?
Nakupenda pia mkuuNakupenda na nina husudu mambo yako.
DuuuAlafu angalia jina la mtoa madaaaa
Ndo urudi hapa kucoment kama una bwana ako hapa unahisi atanitongoza
Mwambie mm dumeee naweza mtia madoleee
Sawa jiraniShunie, emmyta wameanza kufuata nyayo zangu, na wewe fanya kuzifuata please.
Rubbish kupotezea watu tu mda
Jirani mimi naendelea kupambana na hali hukuSawa jirani
acha kutuzuga basiii hizo sifa ulizozioanisha ktk mada yako hazina jeuri ya kuishi mbali kabisa na huyu mrembo Mwenye akili zake NalendwaNikirudi humu rasmi hapo baadae Saa 8 na Nusu juu ya alama nitamtaja ila kama nikiona Watu wengi mnanishawishi nimtaje na najua atafurahi mno kwani itakuwa ni bonge la suprize Kwake.
acha kutuzuga basiii hizo sifa ulizozioanisha ktk mada yako hazina jeuri ya kuishi mbali kabisa na huyu mrembo Mwenye akili zake Nalendwa
kuja hapa tafadhali moyo wa gent umesha kudondokea aisee
hahahaa mkwara mzito hatari ...bila shaka niwewe tu mkuu ..so wewe subiri aje akudhihirishie tu hapa