Kuna Mwanamke nampenda humu hadi Malaika wa Mbinguni wanajua, je nivunje ukimya ili afurahi?

Nikirudi humu rasmi hapo baadae Saa 8 na Nusu juu ya alama nitamtaja ila kama nikiona Watu wengi mnanishawishi nimtaje na najua atafurahi mno kwani itakuwa ni bonge la suprize Kwake.
kwa sababu kwa akili zako kafungua huu uzi?? si kila mwana jf anafungua kila uzi hata kama yuko kwa jukwaa hilo
 
She is taking my breath away!
Tutembeapo barabarani kuna makutano iko siku tutakutana.
Mi ni barafu ye ni jua mi nayeyuka tuu!
My soulmate wangu jamani daahhh!
Naamini tukionana each will feel somethin special.
Anaanza na B.
be with me.
Baby u drivin me crazy
My life is nothn without u
Be my love.
Be my wife.
Be my baby mama.
Be my everthng.
 
Cjafkia uzezeta wa kuanzishai uz
Uchwara kama hz

Yan nianzishe uz kisa mdada wa jf
Kwan. Pm ya kaz gani
Mbona umecomment upupu hapo wa kulia lia sijui nawapenda wanawake watatu hata pm sijawahi enda haga hujawahi comment kwenye nyuzi zao
 
Mtajeeeeeeeeeeeee

Umenikumbusha ule mchezo wa zamani watoto walikuwa wakiimba.......... NIVUNJE KIKOMBE NISIVUNJE..... VUNJAAA
NIVUNJE KIKOMBE NISIVUNJE..... VUNJAAA


MWENZENU KASIE, MCHUMBA WAKE... KASIBAA halafu hadhira inaitikia yeeeeeeeeh.

Haya mtajenaye ajione beauty Queen among Queens.

Kasie Matata Kasiba.
 
Mbona umecomment upupu hapo wa kulia lia sijui nawapenda wanawake watatu hata pm sijawahi enda haga hujawahi comment kwenye nyuzi zao
Cjacoment Kwa kgezo cha
Kuanzisha uz n comment
Kama comment zngne

Na kwenye nyuz zao
Na comment sana

Ktu n step by step
Co kukurupuka kama maji ya bahar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…