nipo shoga mida ikifika nakutegemea pulizii
Acha kujikanahyo ni perception yako tu me insta ata kupost sijawah...anyway yawezekana sisi wabaya huku ndo pa kujifichia
bas likizuka tu niite[emoji23]Hahaaaa. Ujue umefanya niandike wakati nshatoka kwenye huu uzi. [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]. Najua huwezi nitupa nduguyo.
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Npo kmy lkn ujue mahar yangnipo shoga mida ikifika nakutegemea pulizii
zimenifikia nami nakusalimia pia[emoji113]Nisalimie huyo ukhuty
Ahahah halaf sidhani kama anajijua anaitwa mzee wa busaraMie sijui ka naweza busara zake
[emoji23] [emoji23] [emoji23] emmyta pita hapa kwanzaNpo kmy lkn ujue mahar yang
Yanaletwa kwako
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] kaibuka tenaHahaha
Alipotea ujue
Acheni uoga nyie wanaume unampenda mtu mwambie tu ya nini kufwa na kitu moyoniKuna 2 huwa nawapenda mno ila naogopa kuwatokea isijekuwa ni midume.
Pia huwa ni mwoga kuingia pm za mademu.
Mtaje tu kiongozi GENTAMYCINE
HahahaAhahah halaf sidhani kama anajijua anaitwa mzee wa busara
Akaribie tuu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] kaibuka tena
Unitag kibonge cha naniii.....[emoji124] [emoji124] [emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124] napita, Ntarudi saa nane na nusu
Kweli tuko kawaida ila mimi nilikuaga mlevi wa insta jamani. Sasa hivi nimekua mlevi wa humu hata insta mara ya mwisho kupost sijui ilikua lini. Ninachopendea humu kujifunza. Nasoma vitu vingi ambavyo kawaida nisingevijua. Siangalia taarifa ya habari wala sisikilizi, sisomi magazeti. Bila kuwa kwenye jamii kama hii vitu vingi vingenipita. Nikiwa kwenge groups nikianza kuchangia mada wanawake wengine wanabaki kimya maana naongeaga na wanaume tu. Kingine huku kunapunguza sana stress acha tu. Ukikutana na mtu mkazinguana story mbili tatu siku imeisha.Wanawake wngi wanaopenda Jamii forums, wapo kawaida mno na wengi wao wamekaa kushoto kimtazamo!! Jamii forums n mtandao ambao umekaa kiume zaid kumkuta mtoto wa kike muda mwingi yupo humu badala ya Insta...n lazma kuna kitu anakikmbia huko insta.....humu ndo faraja yake ...msichanganywe na avatar guyz...hata wale wa Insta wapo huku lakin sio active kihivyo......
Ntakutag maa wewe tenaa[emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125]Unitag kibonge cha naniii.....[emoji124] [emoji124] [emoji124]
Eeeh bby umenisusa co kawaidazimenifikia nami nakusalimia pia[emoji113]
nipo majukum tuEeeh bby umenisusa co kawaida
[emoji23] [emoji23] [emoji23] I hope[emoji23] [emoji23] [emoji23] emmyta pita hapa kwanza