Kuna Mwanamke nampenda humu hadi Malaika wa Mbinguni wanajua, je nivunje ukimya ili afurahi?

Kuna Mwanamke nampenda humu hadi Malaika wa Mbinguni wanajua, je nivunje ukimya ili afurahi?

Hahaaaa. Ujue umefanya niandike wakati nshatoka kwenye huu uzi. [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]. Najua huwezi nitupa nduguyo.

[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
bas likizuka tu niite[emoji23]
 
Kuna 2 huwa nawapenda mno ila naogopa kuwatokea isijekuwa ni midume.

Pia huwa ni mwoga kuingia pm za mademu.

Mtaje tu kiongozi GENTAMYCINE
Acheni uoga nyie wanaume unampenda mtu mwambie tu ya nini kufwa na kitu moyoni
 
Wanawake wngi wanaopenda Jamii forums, wapo kawaida mno na wengi wao wamekaa kushoto kimtazamo!! Jamii forums n mtandao ambao umekaa kiume zaid kumkuta mtoto wa kike muda mwingi yupo humu badala ya Insta...n lazma kuna kitu anakikmbia huko insta.....humu ndo faraja yake ...msichanganywe na avatar guyz...hata wale wa Insta wapo huku lakin sio active kihivyo......
Kweli tuko kawaida ila mimi nilikuaga mlevi wa insta jamani. Sasa hivi nimekua mlevi wa humu hata insta mara ya mwisho kupost sijui ilikua lini. Ninachopendea humu kujifunza. Nasoma vitu vingi ambavyo kawaida nisingevijua. Siangalia taarifa ya habari wala sisikilizi, sisomi magazeti. Bila kuwa kwenye jamii kama hii vitu vingi vingenipita. Nikiwa kwenge groups nikianza kuchangia mada wanawake wengine wanabaki kimya maana naongeaga na wanaume tu. Kingine huku kunapunguza sana stress acha tu. Ukikutana na mtu mkazinguana story mbili tatu siku imeisha.
 
Back
Top Bottom