Kuna Mwanamke nampenda humu hadi Malaika wa Mbinguni wanajua, je nivunje ukimya ili afurahi?

Kuna Mwanamke nampenda humu hadi Malaika wa Mbinguni wanajua, je nivunje ukimya ili afurahi?

Inaonekana wewe una tatizo la macho

Ndo maaan umechanganya mtoa mada na mm uje dodoma nikupeleke hospital ya Ntyuka ukipona uje ucomment tena

Alafu badili hiyo avatar kwanza

Jicho kutoa matongotongo sana
nani kakwambia nimechanganya ww na mtoa mada... alietoa mada si ni wa kiume ?? sijammention yy nimeku mention ww kwenye uzi wake

i thnk u are under 20

grow up lady unawaza ujinga sana
 
nani kakwambia nimechanganya ww na mtoa mada... alietoa mada si ni wa kiume ?? sijammention yy nimeku mention ww kwenye uzi wake

i thnk u are under 20

grow up lady unawaza ujinga sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
we Demiss kukuwazaje yani ushaniona kwa pm yako au nimequote popote pale zaidi ya leo ...as kuna li uzi la kijinga niliona nikapita hivi huwa sisomagi jina la aliepost sasa leo kuna ujinga umeandika ndo nkachungulia na thread zako nkagundua had yale mambo ya mtu kuzimia uliandika ww

kama ww ni real mwanamke una hasara asee
 
Back
Top Bottom