Kuna Mwanamke nampenda humu hadi Malaika wa Mbinguni wanajua, je nivunje ukimya ili afurahi?

Me wapo wa 3 af Kila nlifkiri
Kwenda pm naona ntakua najisumbua tu maana cjawah hata kuwapa salam
Kwenye pm zao
Wanawake wngi wanaopenda Jamii forums, wapo kawaida mno na wengi wao wamekaa kushoto kimtazamo!! Jamii forums n mtandao ambao umekaa kiume zaid kumkuta mtoto wa kike muda mwingi yupo humu badala ya Insta...n lazma kuna kitu anakikmbia huko insta.....humu ndo faraja yake ...msichanganywe na avatar guyz...hata wale wa Insta wapo huku lakin sio active kihivyo......
 
Sasa umtaje au umuambie tu?? Ukimtaja ss pia tutakuambia tumampenda. Usitafute competition....then mtaje tu halaf pia akikupa sem na ukitoswa sema..ukiwa confused pia sema
 
Wanawake wngi wanaopenda Jamii forums, wapo kawaida mno na wengi wao wamekaa kushoto kimtazamo!! Jamii forums n mtandao ambao umekaa kiume zaid kumkuta mtoto wa kike muda mwingi yupo humu badala ya Insta...n lazma kuna kitu anakikmbia huko insta.....humu ndo faraja yake ...msichanganywe na avatar guyz...hata wale wa Insta wapo huku lakin sio active kihivyo......
hyo ni perception yako tu me insta ata kupost sijawah...anyway yawezekana sisi wabaya huku ndo pa kujifichia
 
Wanawake wngi wanaopenda Jamii forums, wapo kawaida mno na wengi wao wamekaa kushoto kimtazamo!! Jamii forums n mtandao ambao umekaa kiume zaid kumkuta mtoto wa kike muda mwingi yupo humu badala ya Insta...n lazma kuna kitu anakikmbia huko insta.....humu ndo faraja yake ...msichanganywe na avatar guyz...hata wale wa Insta wapo huku lakin sio active kihivyo......
Ndo maana before niingie
pm yao lazma niwe nmejiridhisha
Kuwa n jike maana madume n
Wengi humu
 
Back
Top Bottom