Kuna Mwanasiasa 'alituhadaa' Juzi kati kuwa kuna Wenzake wanautaka Urais na atawatoa je, mpaka jana tayari tumeshawatambua au?

Kuna Mwanasiasa 'alituhadaa' Juzi kati kuwa kuna Wenzake wanautaka Urais na atawatoa je, mpaka jana tayari tumeshawatambua au?

Wakati mwiikulu na mwezi wa kwanza ndio wanaotolea mimacho hicho kiti chake ila kawakumbatia na hataki kusikia lolote.
 
Mama anaenda kuizika CCM moja kwa moja tutegemee watu hawa kuibuka kuelekea uchaguzi wakitema nyongo ambazo zitaiumbisha CCM
mama siyo yeye anaongoza nchi, ni wahuni
 
Wanasema 'ukitaka kumuua mbwa mpe jina baya'....hiyo ya kuutaka urais 2025 ilitumika tu kama sababu ya kuwamaliza hao miamba wa awamu ya 5.
GENTAMYCINE huwa napenda mno Kukutana na Critical Thinkers kama Wewe hapa JamiiForums kutokana na Jambo Muhimu na la Msingi pia Uliloliandika hapa kuliko 'damn Fools' kama akina Chura ambao hupenda sana Kukurupuka Kuchangia Mada zangu ambazo bahati mbaya Kwao ni kwamba nyingi huwa zinazidi Uwezo wao Duni wa Kufikiri waliobarikiwa nao na Mwenyezi Mungu.
 
Sijui kama Samia anawajua maadui zake? Kuna usemi wa “ Know your enemies and you will win one hundred battles “ Mama kawakumbatia maadui ajue sio rahisi kushinda vita iliyo mbele yake!
 
Yaani kabisa 'Mimate' Kabudi na 'Saa 12 Jioni' Lukuvi ndiyo wautake Urais wa JMT kwa 2025?

Tanzania inahitaji mno Critical Thinkers.

Wahenga walisema; "Siri ya mtungi aijuaye kata"----- ndani ya system ni sawa na ndani ya mtungi.

Kuna mengi tusiyoyajua.
 
Sijui kama Samia anawajua maadui zake? Kuna usemi wa “ Know your enemies and you will win one hundred battles “ Mama kawakumbatia maadui ajue sio rahisi kushinda vita iliyo mbele yake!
Wale ndio washirika zake ndio maana kawapa wadhifa, hao aliowatema ndio maadui.
 
Back
Top Bottom