Kuna Mwanasiasa 'alituhadaa' Juzi kati kuwa kuna Wenzake wanautaka Urais na atawatoa je, mpaka jana tayari tumeshawatambua au?

Kuna Mwanasiasa 'alituhadaa' Juzi kati kuwa kuna Wenzake wanautaka Urais na atawatoa je, mpaka jana tayari tumeshawatambua au?

GENTAMYCINE huwa napenda mno Kukutana na Critical Thinkers kama Wewe hapa JamiiForums kutokana na Jambo Muhimu na la Msingi pia Uliloliandika hapa kuliko 'damn Fools' kama akina Chura ambao hupenda sana Kukurupuka Kuchangia Mada zangu ambazo bahati mbaya Kwao ni kwamba nyingi huwa zinazidi Uwezo wao Duni wa Kufikiri waliobarikiwa nao na Mwenyezi Mungu.
Hivi kuna mtu anapokea taarifa Crystal nchi hii kama moja? Awamu hii tupo pamoja popoma guru😂😂😂😂😂😂😂
 
wanaotaka urais toka 2015 na wameandika mpaka mwenye mawe wapo afu anawaengua wengine, siasa tuiache kama ilivyo maana wao ndio wapo field wanaelewa yanayojiri, maana alisema wanamkwamisha sasa nimejaribu kufuatilia wahusika sijajua walimkwamisha wapi
 
Kwa hiyo Mwita Waitara naye alikuwa anautaka urais kiasi cha kuwa tishio kwa mama Samia?
Mwita waitara?!

Huyu mama ameifanya CCM kuonekana kama chama dhaifu mnoo cha kuogopa haya kwenda kupambana na TLP.
Yaani Mwita Waitara, ile Sura yake Ngumu kama Tofali la STRABAG tu na ule Uso uliovimba kama Vitumbua vya Tandika ilikuwa ni sababu tosha ya Kuwakimbiza na Kuwatishia Wapiga Kura kutompigia Kura mapema tu.
 
Yaani kabisa 'Mimate' Kabudi na 'Saa 12 Jioni' Lukuvi ndiyo wautake Urais wa JMT kwa 2025?

Tanzania inahitaji mno Critical Thinkers.
Ni kweli waliotemwa hawaoneshi km wana ushawishi wa kupambania kiti ila yawezekana wanashiriki kumpambania mwenye ushawishi ambaye pengine hata hatumfikirii kabisa ili ashike kiti 2025.Yani hao waliotemwa ni machawa.
 
Mama anaenda kuizika CCM moja kwa moja tutegemee watu hawa kuibuka kuelekea uchaguzi wakitema nyongo ambazo zitaiumbisha CCM
Ila mama mnamsingizia sana utadhani yeye intelllejensia yake ni yakilaghai ukweli kabisa Mzee aliyelala pema alimuandaa kabudi kuwa Rais na ndo sababu akamtoa sheria akamsogeza mambo ya nje pale alambe exposure na mitandao.
 
Mama anaenda kuizika CCM moja kwa moja tutegemee watu hawa kuibuka kuelekea uchaguzi wakitema nyongo ambazo zitaiumbisha CCM
Historia ya alofanyiwa Lowassa na yaliyofuata tumeyashuhudia na ku-experience. Bwana yule na washauri wake waliietendea nini nchi hii enzi zake na baadae is on record. Huyu anamtumikia nani kuharibu chama na nchi?
Wamarekani?
 
kuna kitu kinaitwa network, au gang...

mtaka Urais anaweza kuwa mmoja kwenye kundi lakini anateam up na wenzie ambao watamsaidia kwenye mbio zake....EL alikuwa anautaka yeye Urais lakini aliteam up na watu wengi kutengeneza gang/network yake itakayomsaidia kwenye kazi yake..

Mama kama mkuu wa nchi ana source nyingi za habari na nyeti mbalimbali kuliko sisi raia wa kawaida huku uraiani, kifupi yuko well informed kuliko sisi...anapozungumza jambo maana yake analijua undani wake..

Unapokuwa na gangs kwenye mfumo ambazo zinawania kiti chako huku nawewe ukihitaji kuendelea na hicho kiti, kuna hatari ya hizo gangs kukukwamisha ili uonekane umeshindwa na hufai..lakini pia kuziacha hizo gangs maana yake ni kudhoofisha utendaji maana muda mwingi utatumika kujipanga kwa ajili ya Urais na kutengeneza network..

Wengine waliobaki tunaoamini nao wanautaka Urais hasa hao wawili wanaotajwa ukiona wameachwa tambua its well calculated na hawana madhara....lakini jambo moja tusilolijua hao wawili waliobaki "God father wao ni mmoja" na ambaye ndio anasemwa kama mkuu wa gang fulani karibu na chalinze pale....ni rahisi kuwacontrol na hata kuwatuliza...
 
Back
Top Bottom