Kuna mwenye info ya hiki chuo? Help please...

Kuna mwenye info ya hiki chuo? Help please...

Aluta

Member
Joined
Aug 16, 2008
Posts
69
Reaction score
3
Salamu zenu wadai. Naombeni ushauri ikiwa ni pamoja ya information ya hiki chuo kiitwacho KILACHA Agriculture and livestock training institute. Kwenye form kinaonyesha Diocese of Moshi; kwangu mimi haimaanishi kinamilikiwa na kanisa katoliki maana haijaandikwa hivyo. Kinatambulika au ndio vyuo vile vinavyotumia miamvuli ya kanisa wateja/wanafunzi?nimejaribu kufuatilia ada yao haitabiriki; maana wanasema inaweza badilika kutokana na muda watakavyoamua. Dogo analilia kusoma certificate in general agricultural and livestock na semister ya kwanza tu form inaonyesha ni 1 ml..hizo zingine sijui watasema ni sh. ngapi maana hawajui estimation ya kwa mwaka ni sh. ngapi.Mwenye info. ya hiki chuo tusaidiane kama ulikuwa na ndugu kasoma hapo in anyway; nisije poteza hela na muda wa huyu dogo..
 
Back
Top Bottom