Kuna mwenye swali juu ya Joyice Lumalisa Mutambala?

bryan2

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2016
Posts
3,323
Reaction score
4,679
Hapo mwanzo kuna mashaka yaliibuka juu ya uwezo ako nao kijana wa Tshikedi Joyice Lumalisa, mara oo jina sijui la nani wakiongozwa na yule mpiga makelele wao, mara Yanga wamepigwa kama kawaida ya Watanzania majungu mengi, vijicho, wivu n.k.

Lamalisa siyo mtu wa maneno mengi amewacha njumu zake ziongee/ziseme kiwanjani kifupi jamaa anajua ball anapiga soka la kitabuni hana wenge kwenye chenga atapiga kwenye kumwaga majaloo anatamwaga.

Alinishtua sana kuanzia ile gemu ya Watunisia, kuanzia hapo mwamba ameniaminika na Pro Nabi kula mbavu ya kushoto, kama gemu ya leo wameelewana sana na Tk Masta.

Tutegemee zaidi kutoka kwa Joyice Lomalisa Mutambala.
 
Acha mikwara safari bado kuna siku utakuja kumkataa yule ngoja mechi za kimataifa sio hizi za Caf champions league atakimbizwa yule na kitambi chake utamuuza wakati yupo pale kama mzee wenu bigirimana.
 
Ukisoma hapo juu nimesema roho mbaya za watanzania pamoja na wivu, kijicho,unafiki...nk angalia nawe usiwe mmoja wao manake matendo yako yanaelekea huko
 
Hapo mwanzo kuna mashaka yaliibuka juu ya uwezo ako nao kijana wa Tshikedi Joyice Lumalisa, mara oo jina sijui la nani wakiongozwa na yule mpiga makelele wao, mara Yanga wamepigwa kama kawaida ya Watanzania majungu mengi, vijicho, wivu n.k.

Lamalisa siyo mtu wa maneno mengi amewacha njumu zake ziongee/ziseme kiwanjani kifupi jamaa anajua ball anapiga soka la kitabuni hana wenge kwenye chenga atapiga kwenye kumwaga majaloo anatamwaga.

Alinishtua sana kuanzia ile gemu ya Watunisia, kuanzia hapo mwamba ameniaminika na Pro Nabi kula mbavu ya kushoto, kama gemu ya leo wameelewana sana na Tk Masta.

Tutegemee zaidi kutoka kwa Joyice Lomalisa Mutambala.
hakuna
 
Sasa huoni hayo makelele kwa kiasi fulani yalikuwa na ukweli? Maana hata wewe mwenyewe umekiri kuanza kumuelewa baada ya mechi na Watunisia! Hapo kabla kwa nini hukumuelewa?

Halafu wachezaji kusemwa siyo wivu, au chuki! Kusemwa kwa wachezaji ni sehemu ya changamoto kwao, ili iwasaidie kurejesha viwango vyao. Harry Maguire wa Man U amesemwa, amekejeliwa! Hakukata tamaa! Na leo hii anakinukisha kule Qatar.
 
Hapo mwanzo kuna mashaka yaliibuka juu ya uwezo ako nao kijana wa Tshikedi Joyice Lumalisa, mara oo jina sijui la nani wakiongozwa na yule mpiga makelele wao, mara Yanga wamepigwa kama kawaida ya Watanzania majungu mengi, vijicho, wivu n.k.

Lamalisa siyo mtu wa maneno mengi amewacha njumu zake ziongee/ziseme kiwanjani kifupi jamaa anajua ball anapiga soka la kitabuni hana wenge kwenye chenga atapiga kwenye kumwaga majaloo anatamwaga.

Alinishtua sana kuanzia ile gemu ya Watunisia, kuanzia hapo mwamba ameniaminika na Pro Nabi kula mbavu ya kushoto, kama gemu ya leo wameelewana sana na Tk Masta.

Tutegemee zaidi kutoka kwa Joyice Lomalisa Mutambala.
Nakuvali sana mbavu za yanga
 
Kusemwa hata Mimi nilimsema tena Sana tu, kiwango alichoanza nacho kilikuwa kibovuuuu Sana tofauti na tulivyoaminishwa kipindi Cha usajili!!. Mchezaji kusemwa kwa kiwango kibovu ni sahihi inampa ishara ya kujirekebisha na kuona anachofanya watu hawakielewi, Moloko leo anaimbwa vizuri midomoni mwa sisi wanayanga kwasababu hapo nyuma tulimsema Sana mpaka kufikia hatua kuomba aachwa dirisha la usajiri lililopita!!. Moloko kasikia kelele zetu kajirelebisha Leo anapiga mpira mwingii mpaka unapata raha, mchezaji ana nyakati mbili katika maisha yake ya mpira atasemwa vizuri akifanya vizuri na atasemwa vibaya akifanya vibaya hivyo acha watu wasema kutokana na nyakati husika.

NB: hata wewe umesema umeanza kuona ni mzuri baada ya mechi ya Tunisia, hivyo Kumbe hapo kabla ulikuwa unahisi tumepigwa kama ambavyo bado naamini kwa yule mrundi wetu pale tumepigwa ni sawa na kusajili mchezaji wa ndani, msaada wake mwenye timu ni mdogo ni kama hayupo kabisa.
 
Kaka mkubwa shida ya watanzania tunakosa Subira na kuanza maneno ya hovyo jamaa walifika mpaka kuhoji jina lake.

Kama unamkumbuka Vicent Bousou mashabiki nao walipiga kelele sana kwamba tumeingia choo cha watoto ila alikuja kuwa bonge la kitasa.
 
Hilo la kuhoji jina lake linawahusu mashabiki wa simba! Hao ndiyo waliomkejeli. Hakuna shabiki wa Yanga aliyehoji, au kumkejeli Lomalisa kwa sababu tu ya jina lake.
 
Wabongo hatujui kumpa muda mchezaji.... ! Yani swala la uvumilivu bongo sifuri
 
Back
Top Bottom