bryan2
JF-Expert Member
- Jun 8, 2016
- 3,323
- 4,679
Hapo mwanzo kuna mashaka yaliibuka juu ya uwezo ako nao kijana wa Tshikedi Joyice Lumalisa, mara oo jina sijui la nani wakiongozwa na yule mpiga makelele wao, mara Yanga wamepigwa kama kawaida ya Watanzania majungu mengi, vijicho, wivu n.k.
Lamalisa siyo mtu wa maneno mengi amewacha njumu zake ziongee/ziseme kiwanjani kifupi jamaa anajua ball anapiga soka la kitabuni hana wenge kwenye chenga atapiga kwenye kumwaga majaloo anatamwaga.
Alinishtua sana kuanzia ile gemu ya Watunisia, kuanzia hapo mwamba ameniaminika na Pro Nabi kula mbavu ya kushoto, kama gemu ya leo wameelewana sana na Tk Masta.
Tutegemee zaidi kutoka kwa Joyice Lomalisa Mutambala.