Kuna mwenye Video au Audio za hotuba za Sokoine?

We mtu ni mpuuzi
 
TBC achieni speech za viongozi wa zamani ziwasaidie wananchi kujua nchi yao ilitoka wapi imepitia mema na magumu gani
 
Nyerere angeiba,mngekuta kitu?
Madini yote,gesi yote singeisha?
Kuwa na adabu kijana.
Hawa wanaoiba sasa hv,walisomeshwa kwa pesa ya umma aliyokusanya na kusimamia Nyerere.
 
Nyerere angeiba,mngekuta kitu?
Madini yote,gesi yote singeisha?
Kuwa na adabu kijana.
Hawa wanaoiba sasa hv,walisomeshwa kwa pesa ya umma aliyokusanya na kusimamia Nyerere.
Hiyo mijitu ni mijinga sana.. Yani unalalama Nyerere hajaiba.. Hamna rais makini Afrika kama Nyerere mpaka sasa hajatokea mtu aliyeweka uafrika na utaifa mbele kuliko kitu chochote

Sent from my JSN-L21 using JamiiForums mobile app
 
Kuna hotuba moja ya nyerere anawasema maaskofu na mashehe niliisikia bado mdogo sana huko TBC kipindi hicho inaitwa RTD, Nimeitafuta sana ila sijaipata bado.

TBC hawafanyi sawa kuzofungia ndani hizo hptuba. Kazi kujisifia tu kuwa wana maktaba kubwa.
 
Wana mentality ya hovyo sana, nimefuatilia Youtube documentaries nyingi kuhusu Mwl Nyerere ni za wazungu na zinavutia sana ila wakwetu hapa bado wamefungia habari makabatini mpaka ziote fungus
 
Wew jinga kweli mtu mtot wake tu mwenye nameloku Ana jumba maeneo ya nanenane Arusha pale lenye zamani la milioni Mia nne nakumbuka tulienda na broo wangu kumfanyia valuation mwaka 2015 acha kwa upande wa Kaka ake Joseph wa wizarani. Aise wako vzr ile familia acha kbsaa
 
Tanzania's Prime Minister Edward Sokoine opens The 2nd Dar International Trade Fair | July, 1978

Habari wakuu.

Nauliza kama kuna mwenye video au audio ya sauti ya Marehemu Sokoine?

Msaada kwa mwenye nazo....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…