Kuna nabii anaombea watu wanaotaka kuchaguliwa UDSM na MZUMBE

Kuna nabii anaombea watu wanaotaka kuchaguliwa UDSM na MZUMBE

AdvocateFi

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2012
Posts
11,492
Reaction score
5,047
Aiseee wakuu nimeshangaa sana kulisoma hili tangazo maeneo ya nane nane morogoro.

My take:
Ina maana hivi nchi hii vyuo ni viwili tu?
 
duuuuuuuuuuuuuuuh!!!! eti kajiajiri....:A S wink:
 
Aiseee wakuu nimeshangaa sana kulisoma hili tangazo maeneo ya nane nane morogoro.

My take:
Ina maana hivi nchi hii vyuo ni viwili tu?

we sema unataka ligi ya vyuo nimekusitukia! Hlo tangazo hujaliona wala nini...

N'way nenda mkavute ganja kwanza then akuombee wewe ka unataka uombewe!
 
we sema unataka ligi ya vyuo nimekusitukia! Hlo tangazo hujaliona wala nini...

N'way nenda mkavute ganja kwanza then akuombee wewe ka unataka uombewe!

wewe bila shaka utakuwa ni kichaa uliyevimbiwa na mirungi, unadhan wote wana upeo hafifu kama wako.
 
wewe bila shaka utakuwa ni kichaa uliyevimbiwa na mirungi, unadhan wote wana upeo hafifu kama wako.

Mwenye upeo hafifu ni wewe ambaye unaamini utakuwa admitted UD au Mzumbe kwa kuombewa..

Nabii wa kweli hafanyi vitu kama unavovisema wewe 'eti kuombea mtu achaguliwe UD' bali anajikita katika kuhubiri kweli ya Mungu! Kwa hiyo wewe una upeo finyu kwani unaamini manabii uchwara wako!

Mwenye upeo mdogn ni wewe uliyepost thread ikitarajia watu watakupa suport za kubishana kuhusu vyuo lakini umetoka kapa! Hilooo... Umeji.nyea babu katawaze!

Mwenye upeo mdogo ni wewe ambaye Tittle ya thread yako haiendani na kile ambacho unataka kijadiliwe na watu kwenye thread yako!

Kama wewe una upeo wa akili kwa nini umetoka mapovu sasa ukanitukana? Teh teh teh teh! TAKE CARE
 
Aiseee wakuu nimeshangaa sana kulisoma hili tangazo maeneo ya nane nane morogoro.

My take:
Ina maana hivi nchi hii vyuo ni viwili tu?

Wewe utakuwa zao la BRN na isitoshe una division 5,yaan daahh in short hujielewi
 
Achen acting kama sio wasomi bna nyiee.ud sua.sjui saut.vyote vyuoo msingi chuoo na zote degreee
 
Nendeni tu mkaombewe ila msikubali kutozwa ushuru wa maombi
 
Back
Top Bottom