Kuna nafasi hazijawahi kutwaliwa na wanawake, Makamu mwenyekiti CCM na Katibu mkuu CCM, kwanini?

Matharani;

Je ilishawahi kutokea kuwa na VC wa chuo kikuu chochote hapa nchini?

Je ilishawahi kutokea kwa na CEO mwanamke TPA, TRĄ, BOT, TRL, NIC, n.k ?????

Tangazeni watu waombe kufanyike ushindani huru muone kama mashine za kike zinazojua kujisimamia zenyewe bila kurubuniwa na Mwanaume ,

Mwenyezi Mungu anawatu.
 
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, sijawahi kusikia makamu mwenyekiti ccm mwanamke, pia Katibu mkuu ccm mwananmke.

Tumeona makamu wa rais mwanamke na akawa rais ki bahati bahati tu. Hizo nafasi haziwezi kutwaliwa na mwanamke huko ccm? vipi katibu mkuu ccm haiwezekani akapewa mwanamke pia?

Haya sasa Chongolo alijiuzulu mwenyewe, kwanini wanaosemwa kuirithi nafasi yake ni wanaume watupu?
CCM waachieni mama zetu labda tutabahatisha anayeweza.
nadhani si muhimu sana hili na halina maana sana.,

Nadhani ile ya maana ni uongozi mahiri, makini na uliotumuka bila kujali jinsia, dini au rangi ya mtu ...

Hilo la jinsia likiruhusiwa, muda kidogo litapendekezwa la udini, na kadiri muda unavyokwenda itapendekezwa rangi au ukanda wa mtu usingatiwe kwenye hizo nafasi...

So,
Fikra za kibaguzi wa aina yeyote ile kurithishana au kupeana likianza kuzingatiwa kwenye uongozi wa chama au serikali....Utakua ndio mwanzo wa migawanyiko na pengine mifarakano, uharibifu na mwanzo wa vita ya wenyewe kwa wenyewe...
 
Shukran sana kwa jibu lako, lakini yoote uliyoyasema yamewahi kutokea japo wengi hatupendi kukubali hivyo. Udini umesemwa, ukanda ulisemwa na hata ukabila ukasemwa. Hili la jinsia bado halijasemwa sana kwasababu Rais tuliye naye kapatikana kwa dirisha dogo, ingawa kwa sasa inaonekana aliiingia mlango wa mbele.
Niliongelea hizo nafasi mbili kwa chama tawala kwasababu miaka yote tangu kuundwa chama hicho hizo nafasi hazijawahi shikwa na wananwake, sikuwa na meengi ila hoja ilikuwa hiyo tu. Nikauliza kulikoni, au sasa ndiye anatafutwa?
 
Pendekeza list ya akina mama tuione
Hili litakuwa gumu, ila naamini nchi hii ina wadada na wamama wengi wenye maarifa ya kutosha kutwaa nafasi hizo. Sina wa kumpendekeza ingawa naamini ni wengi sana, na wapewe nafasi tusisubirie wapate nafasi kwa bahati mbaya.
Wateuliwe au wagombee na wachaguliwe.
 
Muda wao ukifika watapata nafasi.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Hakuna muda wao muda ni huu wetu sote. Nilitaka kufahamu tu kama huko CCM ni mwiko hizo nafasi kutwaliwa na mwanamke.
 
Kwani huko chadema hali ikoje? Lini wanawake walishika hizo nafasi? Acha kujitoa ufahamu.,
Hahaha hatufanyi ulinganifu wa vyama, tunaangalia nafasi ya mwanamke kuwa sawa kwenye nyanja zote za kijamii. Kama ilivyo huku tunakoponga kokoto tunao wanawake wanaponda kokoto, basi nilidhani na huko juu nako iwe kawaida kwao pia.
Hivyi vyama vipo nami siko popote tuliza mzuka.
 
Hii dunia imeumbwa kwa ajili ya mfumo dume. Na ni ukweli kwamba wanaume pekee wanapaswa kuwa ndiyo watawala.

Fanya utafiti katika jamii zote za wanyama, kwa kuwa binadsmu yupo katika kundi hili la kibaolojia. Huwezi kukuta mahali popote pale kiongozi wa kundi ama familia ni mwanamke.

Ni makosa makubwa sana kumuweka mwanamke awe juu kiutawala katika majukumu nyeti ya utawala, labda iwe kwa ajili ya kuwa "figurehead" tu. Kufanya mwanamke kuwa mtawala ili upate matokeo chanya, hakuna tofauti yoyote ile na kucheza kamari.
Hivyo hawastahili, hawawezi au mfumo hauwataki, au haitakiwi kijamii?
Na vipi sasa Samia ni rais na anafanya maamuzi bado haiko sawa?
 
Bado mnasikia na kuona mnafit kukalia Nyazfa za juu[emoji17][emoji3454]
 
nadhani si muhimu sana hili na halina maana sana.,

Nadhani ile ya maana ni uongozi mahiri, makini na uliotumuka bila kujali jinsia, dini au rangi ya mtu ...

Hilo la jinsia likiruhusiwa, muda kidogo litapendekezwa la udini, na kadiri muda unavyokwenda itapendekezwa rangi au ukanda wa mtu usingatiwe kwenye hizo nafasi...

So,
Fikra za kibaguzi wa aina yeyote ile kurithishana au kupeana likianza kuzingatiwa kwenye uongozi wa chama au serikali....Utakua ndio mwanzo wa migawanyiko na pengine mifarakano, uharibifu na mwanzo wa vita ya wenyewe kwa wenyewe...
Kwani unadha no. 1 hakupendelewa kuwepo pale alipokuwa mwanzo? Mbona hatujapata mfalakano wowote
 
kama utaratibu umekupendelea wewe zaid ya wengine makasiriko ni yannn....
Na huo ndio utaratibu..

Mfalakano ni kitu ingine na itababiki kwa wenye gubu pekee daima..
 
Shukran sana kwa jibu lako, lakini yoote uliyoyasema yamewahi kutokea japo wengi hatupendi kukubali hivyo. Udini umesemwa, ukanda ulisemwa na hata ukabila ukasemwa. Hili la jinsia bado halijasemwa sana kwasababu Rais tuliye naye kapatikana kwa dirisha dogo, ingawa kwa sasa inaonekana aliiingia mlango wa mbele.
Niliongelea hizo nafasi mbili kwa chama tawala kwasababu miaka yote tangu kuundwa chama hicho hizo nafasi hazijawahi shikwa na wananwake, sikuwa na meengi ila hoja ilikuwa hiyo tu. Nikauliza kulikoni, au sasa ndiye anatafutwa?
suala la kwasasa au baadae kwamba fulani ndie anaetafutwa au anaefaa ama laa, linabaki ni maoni na mtazamo binafsi ya mwananchi ambayo hayazuiliki.

Lakini hakuna anaemtafuta mtu mule ndani na huo utaratibu wa kutafutana haupo, ispokua kuaandaana au kujengana ndio maana kuna hata chipkizi na jumuiya mbalimbali...

Lakini yeyote yule wa jinsia ke au me bila kujali dini, rangi, kabila, au kanda anaweza kufaa kwenye nafasi yeyote kwa wakati muafaka kulinga na mazingira ya wakati huo....
 
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, sijawahi kusikia makamu mwenyekiti ccm mwanamke, pia Katibu mkuu ccm mwananmke.

Tumeona makamu wa rais mwanamke na akawa rais ki bahati bahati tu. Hizo nafasi haziwezi kutwaliwa na mwanamke huko ccm? vipi katibu mkuu ccm haiwezekani akapewa mwanamke pia?

Haya sasa Chongolo alijiuzulu mwenyewe, kwanini wanaosemwa kuirithi nafasi yake ni wanaume watupu?
CCM waachieni mama zetu labda tutabahatisha anayeweza.
NGOJA TUMPIGIE DEBE HALIMA MDEE awe makamu Mwenyekiti ccm taifa maana imemkumbatia sana kwenye Ubunge wake fake licha ya kufukuzwa na chama na Mahakama kuthibitisha lakini CCM imemkumbatia

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom