kuna nafasi za AJIRA hazipaswi kuteuliwa kabisa

kuna nafasi za AJIRA hazipaswi kuteuliwa kabisa

Show Game

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
316
Reaction score
1,099
Mi nazidi kuishangaa nchi yetu hii aisee

Yani mteue wakuu wa mikoa, wilaya, D.E.D na wengineo huko waliokaa kisiasa siasa mfike hadi kwa nafasi zilizosomewa kabisa ?

Mwambieni Mheshimiwa Rais, hakukuwa na Haja ya kuteua kwa nafasi ya Mkurugenzi wa TASAC.
Hii nafasi ilipaswq iachwe vijana waipambanie kwa kuoneshana makali kuanzia kwenye USAILI na kupitia Experience zao.

Hii Hapana kabisa.
 
Hii keki wanakula wenye nchii Tu,sie mastoway tutakula tulikopeleka mboga
 
Rais ni mwajiri mkuu wa Serikali, ana mamlaka ya kuajiri directly au indirectly. Hata kama ingekuwa ni ya kuomba, akimtaka yeyote anakuwa.
 
Back
Top Bottom