King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 64,227
- 98,761
Usijihami, hakuna mahali nimekuchukulia vibayaMkuu mimi ni mtu makini sana linapokuja swala la hawa viumbe. Najitahidi lakini ussinichukulie vibaya😎
Kivipi Gunner? Unaweza ukawa sahihi ila pia usiwe sahihi kwasababu sina haja ya kufuatilia mtu ambaye tayari ana maamuzi ya maisha yake nini afanye nini asifanye kipi ni sahihi na kipi si sahihi.Mimi naona ni kwasababu bado unatawaliwa na hisia zaidi. Maana ukiweza kuji control wewe hata mazingira ya nje hayawezi kukuendesha. Ni sawa kwa mtazamo huo, hauwezi kucontrol mtu ila kuelewa motives zake inawezekana sana
Nani aliye kudanganya? Kuwa kwenye hii dunia hakuna unconditional love?Hata mimi huwa nawashangaa wanaume wanaolalamika wanawake kufuata pesa kwa wanaume ilihali wanaume wengi wao nao kuna sifa huwa wanazifuata kwa wanawake na siku hizo sifa zikiisha mwanamke anapigwa chini, kwenye hii dunia hakuna unconditional love kwenye mahusiano kila jinsia inaingia kwa maslahi yake binafsi na hayo maslahi yakikosekana unaachwa, it is what it is sasa msitake ionekane kama wakifanya wanaume it's okay ila wakifanya wanawake ni wabaya kiuhalisia jinsia zote ni victims kwenye hilo katika namna tofautitofauti msilazimishe kutazama kwenye huo muktadha wa pesa tu
Woow yani wanaume wa jf hambadiliki aise, hii tabia ya kujadili hoja bila kuleta ad hominem attacks kumbe bado mnayo, anyway unajua maana ya unconditional love lakiniNani aliye kudanganya? Kuwa kwenye hii dunia hakuna unconditional love?
Ndo nyie ambao bado mna weak perspective na trauma za kukosa malezi bora huwa mnaingia kutafuta upendo mlio kosa kwa Wanaume and vice versa.
Ukishaona mtu anaingia kwenye mahusiano with a means to an end mentality huyo tayari anashida ndani yake. Sio mwenza tena hapo.
Mwanamke anaye jielewa hawezi kukubali mwanaume amchezee kwa nia ya kumpata hela, atajua boundaries na thamani yake, viyvo hivyo mwanaume anayejielewa hawezi toka na pussy ambayo ni gold digger.
Miksha ya fanya mahusiano yawe transactional, hapo hamna tofauti na malaya wa buza. Mmejivika ndoa tu.
Hapana nakupa facts maana wewe ndiye uliye kuja kujihami..Woow yani wanaume wa jf hambadiliki aise, hii tabia ya kujadili hoja bila kuleta ad hominem attacks kumbe bado mnayo, anyway unajua maana ya unconditional love lakini
Mwanamke akitembea na wanaume wengi anaitwa malaya ila mwanaume akitembea na wanawake wengi anaitwa rijali, mwanamke akifanya majukumu ya nyumbani ni mke bora ila mwanaume akifanya majukumu ya nyumbani anaitwa mume bwege, sasa niambie ulichopost kwenye hiyo picha kina tofauti gani na hiki nilichoandika hapa au huelewi dunia inavyojudge mambo baina ya hizi jinsiaBwashee tafuta hela yako kwa wivu mkubwa , kunywa bia ,fanya mazoezi, lala vizuri ,huku ukisubiri siku yako ya kufa tu
View attachment 3675515
The world is not fair.Bwashee tafuta hela yako kwa wivu mkubwa , kunywa bia ,fanya mazoezi, lala vizuri ,huku ukisubiri siku yako ya kufa tu
View attachment 3675515
Mimi naona wote ni malaya tu, malaya ni malaya tuMwanamke akitembea na wanaume anaitwa malaya ila mwanaume akitembea na wanawake wengi anaitwa rijali, mwanamke akifanya majukumu ya nyumbani ni mke bora ila mwanaume akifanya majukumu ya nyumbani anaitwa mume bwege, sasa niambie ulichopost kwenye hiyo picha kina tofauti gani na hiki nilichoandika hapa au huelewi dunia inavyojudge mambo baina ya hizi jinsia
SureThe world is not fair.
Bwashee usiyakatie tamaa mapenzi😂😂Bwashee tafuta hela yako kwa wivu mkubwa , kunywa bia ,fanya mazoezi, lala vizuri ,huku ukisubiri siku yako ya kufa tu
View attachment 3675515
Sijayakatia bwashee, mbona nashusha sukari kwa wakati bwashee, muhimu kibubu kisijae ila mambo ya kuch kuch hotae na kujifanya sharuku khan hapana kwa kweliBwashee usiyakatie tamaa mapenzi😂😂
Pombe na ego havisaidii ukisha kuwa kizee huko Utajuta kukosa mtu wa kukufariji.
Mapenzi sio ku kwich kwich na kupunguza kububu tu bwashee unahitaji mtu wa kukuzika. Ila sawa maana kuna wengine wanaona dunia ilisha kuwa toxicated na hakuna maana tenaSijayakatia bwashee, mbona nashusha sukari kwa wakati bwashee, muhimu kibubu kisijae ila mambo ya kuch kuch hotae na kujifanya sharuku khan hapana kwa kweli
Basiii endelea kutaka kuwaelewa wanawake bwashee, siku ukikaribia kuwaelewa ndio siku utakufaMapenzi sio ku kwich kwich na kupunguza kububu tu bwashee unahitaji mtu wa kukuzika. Ila sawa maana kuna wengine wanaona dunia nilisha kuwa toxicated na hakuna maana tena