Kuna namna naanza kuwaelewa wanawake

Ukweli kabisa, insta na maisha ya mitandao yanafanya wanawake kuwa kama bidhaa tu.

They're selling their souls to a one night stand and cash.

Ukimpata mwanamke mwenye kujua worth yake sio pesa, mkuu weka kambi maana umepata kifaa.

Kuhusu wazungu wap, huwa wanafunzwa kabisa from a young age kuwa money ain't a thing, money is for making life easier not better.
 
We dada bado una maumivu ya ule moto nilio kupelekea (sijui unakumbuka?)
. Mimi huwa siku Ali mtu aniingize chaka ila kwenye ukweli tutaelewana.
Sijawahi na hakuna humu wa kunipelekea moto anavyojisikia yeye.....
Mi utakavyokuja ndio nitakavyo nakupokea na kukupa maelekezo stahili yanayokuaa.
 
Sijawahi na hakuna humu wa kunipelekea moto anavyojisikia yeye.....
Mi utakavyokuja ndio nitakavyo nakupokea na kukupa maelekezo stahili yanayokuaa.
Safi... Uhuru ni wako... Japo ile siku nilijua umefura kweli😎
 
Ukitaka kunikera njoo na misemo mipya na matusi advanced
Mimi huwa situkani huwa naongea ukweli Mchungu ambao wengi huwa inawakwaza sana. Nashangaa sana mtu akisema nimetukana mara nyingi watu ndio huwa wananitukana wao kwa kukereka na kuambiwa kile anachotaka kujifichia
 
Hakuna alie wahi kuwajua hawa viumbe hapa duniani ndio maana maandiko yanasema ishini nao kwa akili. Shida wanaume tunaishi nao kwa hisia za matamanio yetu.
 
Hakuna alie wahi kuwajua hawa viumbe hapa duniani ndio maana maandiko yanasema ishini nao kwa akili. Shida wanaume tunaishi nao kwa hisia za matamanio yetu.
Katika kuwajua ndio kuishi nao kwa akili huko

Hauwezi jua complexity ya binadamu mwenzio ila unaweza kuona pattern za tabia yake na uka adjust
 
Hakika Mkuu

Ni vyema kama wazazi tukatia bidii kwenye kuwa kuza vyema kwa maadili hawa mabinti na vijana wetu

Suala la kujitambua ni muhimu sana kwa Dunia ya sasa

Maana shetani yupo busy kuvunja ndoa za watu
 
Hakika mzee mwenzangu.

An idle mind is the devil's playground
 
Una.... Kisha unaachana naye
 
Hakuna tetea anaepandwa na jogoo moja tu, weka hii akilini haitokusumbua sana ubongo wako
Mnyama hana reasoning yanafuata hisia, Tukisema mwanadamu aishi hivyo atakosa order. Na order ndo msingi wa mafanikio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…