Kuna namna naanza kuwaelewa wanawake

Hata sisi wanaume ni hatari sana, Strategically
Ni kweli pia, mwanaume kwenye manipulation physically yuko njema sana ile emotionally mwanamke yuko stable sana na anaweza ku fake mpaka kilio na kikakubali
 
umechelewa sana kama ndo unaanza kuwaelewa
 
Hata sisi wanaume ni hatari sana, Strategically
Ni kweli pia, mwanaume kwenye manipulation physically yuko njema sana ile emotionally mwanamke yuko stable sana na anaweza ku fake mpaka kilio na kika
umechelewa sana kama ndo unaanza kuwaelewa
Sawa ni bora kuchelewa kuliko kushindwa kabisa
 
Unconditional love inafanana na kiapo cha ndoa takatifu. Lakini ukiangalia uhalisia wa mambo hiyo inayoitwa 'unconditional love' haipo katika uhalisia. It is more of an illusion.
Naam wewe umenielewa
 
Tatizo ni man made perception mnazichukulia literally. Hiyo ndo shida, wazazi wetu hawakuwa accustomed kwa ujinga wa kupeana labels za kijinga
Mkuu haujui kama mababu zetu ndio walioanzisha hiyo mitazamo, na wakaenda mbali zaidi na kuiita nature ilihali ni social constructs tu, gen z na vizazi vijavyo ndio wanajaribu kuzifuta sasa hizo perception
 
Mababu gani hao unaowazungumzia?

Maana hizi dhana zimekuja kuta wala in 20th century if not early 21st century...

Sasa hapa si ndipo Industrialization nilipo shila kasi?

Inshort ni kwamba Gen Z anauliza tu ila hawajui namna ya kuzikwepa ndo maana wanaishia kurudi mle mle tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…