Kuna namna Rage alikuwa sawa

Kuna namna Rage alikuwa sawa

Ali kiba "ni neema ukiw unahema simba inachosha, inafuja raha"
 
Kabla ya mechi za leo sisi mashabiki wa simba tuliambiwa hapa jf tuchague upande either yanga anakufa Kigali au laah. Ili rusionekane vigeugeu mbeleni, tukachagua upande wa wasudan

Leo baada wa Sudan [emoji1232] wamechezea tumeanza visababu. Kuna namna rage alikuwa Sawa maana kuna umbumbumbu na mashabiki mipang'ang'a wengi sana upande wetu.

Ndiyo maana mwamedi anatuburuza kwa tuvitu tudogo sababu ya umbumbumbu wetu. Tunadilike wanalunyasi wenzangu.
Kwani wewe ni shabiki wa Simba kwa mwandiko huo?
 
Walikua busy kujadili sio goli huku kwao kukiwaka moto wametulia kimya ghafra kama moto wa vifuu..
 
Back
Top Bottom