Kuna namna Vodacom speed yao ya internet umepungua ukilinganisha na YAS

Troll JF

Platinum Member
Joined
Feb 6, 2015
Posts
10,592
Reaction score
15,404
Wakuu mimi nilikua user wa vodacom taangu 2008 lakini hivi karibuni nilikua nikipata usumbufu wa internet kuwa slow nikawa nafanya trial leo nimejiunga na internet ya YAS naona iko faster nimeiwasha Vodacom kwa sababu ni line yangu basic na itakua kwa ajili ya kupiga na kupokea simu tuu.
 
Voda siku hizi wamekuwa hovyo sana.

Kwa nilipo wanazidiwa hata na halotel.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…