Kuna nchi mkate ukipanda bei ni ishara kuwa nchi ipo kwenye tatizo

Kuna nchi mkate ukipanda bei ni ishara kuwa nchi ipo kwenye tatizo

chizcom

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
8,680
Reaction score
18,035
Sio kwetu huku hata tuongezewe matozo, makodi na masababu ila tutaishia kumudu tukilalamika moyoni na kumuwachia mungu.

Kwa sasa hakuna penye unafuhuu kuanzia kile kilicho kuwa kinaliwa na maskini nacho kinaonekana kuwa sawa bei moja na kinacho liwa na matajiri au wanaomudu.

Vipato vyetu na maisha yetu ni tofauti na jinsi maisha yana kwenda ukiachana na starehee.leo mkate unafika bei 2000-4000 hapo inategemea ni mkate gani kulingana na familia uliopo nayo.

Kwa wenzetu mkate ukipanda bei kila kukicha ni ishara kuwa nchi inatatizo.
 
So sad!!!

Wananchi wanateseka sana, tutegemee kuanza kutibia utapiamlo siku za usoni
 
Back
Top Bottom