Kuna nchi ukimpeleka mtoto kusoma chuo utajuta

Kweli kabisa, yani kuna mama mumewe alisomea Russia...

Msomi mzuri tu ila alikuwa tungi mtu...

Figo zikafeli...akaanza kubadilika rangi mwilini

Tushamfukia...

Mama kabaki mjane...
Huyo mama analipa?
 
Kuna huyu mwingine naye ni familia maana wengi kwenye ukoo wameenda canada. Now he is 45+ yan network haisomi kabisa, kula vitu vya tanzania hawezi ni biscut, ma cornflakes na vichocolate. Basi hapa ndio akaekwa kweny kampuni walau asikae tu ndani awe zombie kazi yake ni kufika asubuhi job na kulala mda wa lunch aende akale mbali na wafanyakazi wenzake sijui anahofia kulogwa au vipi au awe na vibiskuti akalie chooni, begi hashushi kamwe mgongoni yani mtihani tupu. Sasa sijui canada ndio imemuaharibu au kuna mikono ya watu
 
Kama kawaida unachukua mfano wa jirani yako mtoto wa mjomba wako aliekengeuka ndio unahitimisha huko hakufai.

Hapana mfano mimi na kupa nilikuwa sijui kutoa roho za watu ila nilipofika south africa nikabadilka.jichanganye nikuoneshe japo kuwa sheria itanikamata ila huko huko utanipata
 
Hayo mambo ya ajabu ndio mambo gani?
Msaada kwenye tuta.
 
Sangu nimepita hapo advance
 
Hahahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…