Kuna nchi ukimpeleka mtoto kusoma chuo utajuta

Kuna nchi ukimpeleka mtoto kusoma chuo utajuta

Kweli kabisa, yani kuna mama mumewe alisomea Russia...

Msomi mzuri tu ila alikuwa tungi mtu...

Figo zikafeli...akaanza kubadilika rangi mwilini

Tushamfukia...

Mama kabaki mjane...
Huyo mama analipa?
 
Kuna huyu mwingine naye ni familia maana wengi kwenye ukoo wameenda canada. Now he is 45+ yan network haisomi kabisa, kula vitu vya tanzania hawezi ni biscut, ma cornflakes na vichocolate. Basi hapa ndio akaekwa kweny kampuni walau asikae tu ndani awe zombie kazi yake ni kufika asubuhi job na kulala mda wa lunch aende akale mbali na wafanyakazi wenzake sijui anahofia kulogwa au vipi au awe na vibiskuti akalie chooni, begi hashushi kamwe mgongoni yani mtihani tupu. Sasa sijui canada ndio imemuaharibu au kuna mikono ya watu
 
Kama kawaida unachukua mfano wa jirani yako mtoto wa mjomba wako aliekengeuka ndio unahitimisha huko hakufai.

Hapana mfano mimi na kupa nilikuwa sijui kutoa roho za watu ila nilipofika south africa nikabadilka.jichanganye nikuoneshe japo kuwa sheria itanikamata ila huko huko utanipata
 
Kuna mwalim alinifunfishaga sangu sec mby frm 2 mwanzn
Alisomeaga russia naye alikuwa mtu wa tungi sana,alikuwa anafundisha physics.....kna wakat kma mnara hausomi ....
Alikuwa ananikamata sana na pombe zile power no1 toka Malawi
Kuna siku akanikamata akasema nmpeleke mzaz shule pombe hapo kachkua zote,ikabidi nmpange
Akaniambia hzi nazitoaga wapi nkamwambia boda hko basi akasema niwe namleteaga kimtindo
Kuna siku nkaenda kwake akaniambia alipoenda russia kurudi Ali rudi na friji tu,hahaha

Ova
Sangu nimepita hapo advance
 
Kuna huyu mwingine naye ni familia maana wengi kwenye ukoo wameenda canada. Now he is 45+ yan network haisomi kabisa, kula vitu vya tanzania hawezi ni biscut, ma cornflakes na vichocolate. Basi hapa ndio akaekwa kweny kampuni walau asikae tu ndani awe zombie kazi yake ni kufika asubuhi job na kulala mda wa lunch aende akale mbali na wafanyakazi wenzake sijui anahofia kulogwa au vipi au awe na vibiskuti akalie chooni, begi hashushi kamwe mgongoni yani mtihani tupu. Sasa sijui canada ndio imemuaharibu au kuna mikono ya watu
Hahahaha
 
Back
Top Bottom