kissa anyigulile
JF-Expert Member
- Apr 21, 2017
- 1,550
- 1,742
Pale form 2 nakmbk nlifukuzwaSangu nimepita hapo advance
Hahahapole mkuu [emoji23][emoji23][emoji1787]
Jamaa alienda nchi gan?Kuna jamaa alienda huko sasa hivi anacheza XXX nilimwona kwenye site moja inaitwa SPANK BANGER anajiita DRUFF BANDIT
Kweli we ni wa long ndimbo nimemkuta ila headmaster alikuwa bukukuPale form 2 nakmbk nlifukuzwa
Enzi za kina mwalimu ndimbo,kasebele,headmaster makande,mwalm kabigi
Longtime yaani
Ova
Shule mliishindwa hiyoKweli we ni wa long ndimbo nimemkuta ila headmaster alikuwa bukuku
Alitaka awe justin bieber wa Bonyokwa. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Nina ndugu yangu alipelekwa na babu yake ili akatulize mawazo baada ya baba yake kufariki. ni mdogo kiasi na aliambiwa asome business management na lengo ni baadae aje ku take over the company baada ya kukaa huko akaja akabadili na course aliyoamua kusoma akaanza kusoma muziki huko Canada siku amerudi nyumbani kawa kituko
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] we jamaa ni jinga sana.
Umefanya mbavu zangu ziteseke.
Nchi nyingine ambayo haifai kupeleka mtoto wa kike ni UDSM na IFM.
Yaani mtihani. Kuna ile mtoto unafanya machafu vile upo mbali na wazazi ila ukirudi nyumbani upo kama kondoo lakini yeye hakuficha chochote kuanzia mavazi nywele yan ovyo ovyo. Mtoto anarudi utasema kuna msiba nyumban kumbe mtoto katoka canada. Tunasubir arudi tena sijui atakuja na hali gani kwani baada ya kuambiwa atabaki tz alitishia kujiua hvyo imebidi arudishwe huko akapotee mazimaAlitaka awe justin bieber wa Bonyokwa. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mtoa mada usemayo nikweli japo inategemea na akili ya mtu SAA zngne Kuna ndugu yangu wakaribu alienda kusoma USA akavuta Kama 10yrs amerudi na nguo zake tu yani hadi huruma Hana chchte alichofanya na Kuna mwngne alipata scholarship France akarud shoga kabsa
Maskini wee!!! Duuuh poleee kwa wazazi na ndugu zake.Yaani mtihani. Kuna ile mtoto unafanya machafu vile upo mbali na wazazi ila ukirudi nyumbani upo kama kondoo lakini yeye hakuficha chochote kuanzia mavazi nywele yan ovyo ovyo. Mtoto anarudi utasema kuna msiba nyumban kumbe mtoto katoka canada. Tunasubir arudi tena sijui atakuja na hali gani kwani baada ya kuambiwa atabaki tz alitishia kujiua hvyo imebidi arudishwe huko akapotee mazima
Mtoto ambae kalelewa bila maadili na tamaduni kwao lazima aharibikiwe hata ukimpeleka hapo Uganda tu
Inawezeka mkuu Kuna ndugu yangu alikwenda kusoma china Mambo ya petroleum engineering bt Cha kushangaza amerudi bongo Sasa ivi ni bodaboda Sasa sijui kilichomkuta huko ni ni ni
AiseeKuna huyu mwingine naye ni familia maana wengi kwenye ukoo wameenda canada. Now he is 45+ yan network haisomi kabisa, kula vitu vya tanzania hawezi ni biscut, ma cornflakes na vichocolate. Basi hapa ndio akaekwa kweny kampuni walau asikae tu ndani awe zombie kazi yake ni kufika asubuhi job na kulala mda wa lunch aende akale mbali na wafanyakazi wenzake sijui anahofia kulogwa au vipi au awe na vibiskuti akalie chooni, begi hashushi kamwe mgongoni yani mtihani tupu. Sasa sijui canada ndio imemuaharibu au kuna mikono ya watu