Kuna nchi ukimpeleka mtoto kusoma chuo utajuta

Kuna nchi ukimpeleka mtoto kusoma chuo utajuta

Nina ndugu yangu alipelekwa na babu yake ili akatulize mawazo baada ya baba yake kufariki. ni mdogo kiasi na aliambiwa asome business management na lengo ni baadae aje ku take over the company baada ya kukaa huko akaja akabadili na course aliyoamua kusoma akaanza kusoma muziki huko Canada siku amerudi nyumbani kawa kituko
Alitaka awe justin bieber wa Bonyokwa. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] we jamaa ni jinga sana.
Umefanya mbavu zangu ziteseke.
Nchi nyingine ambayo haifai kupeleka mtoto wa kike ni UDSM na IFM.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji23][emoji23]

Wa kiume CBE - Dar.
 
Mtoa mada usemayo nikweli japo inategemea na akili ya mtu SAA zngne Kuna ndugu yangu wakaribu alienda kusoma USA akavuta Kama 10yrs amerudi na nguo zake tu yani hadi huruma Hana chchte alichofanya na Kuna mwngne alipata scholarship France akarud shoga kabsa
 
Alitaka awe justin bieber wa Bonyokwa. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Yaani mtihani. Kuna ile mtoto unafanya machafu vile upo mbali na wazazi ila ukirudi nyumbani upo kama kondoo lakini yeye hakuficha chochote kuanzia mavazi nywele yan ovyo ovyo. Mtoto anarudi utasema kuna msiba nyumban kumbe mtoto katoka canada. Tunasubir arudi tena sijui atakuja na hali gani kwani baada ya kuambiwa atabaki tz alitishia kujiua hvyo imebidi arudishwe huko akapotee mazima
 
Mtoa mada usemayo nikweli japo inategemea na akili ya mtu SAA zngne Kuna ndugu yangu wakaribu alienda kusoma USA akavuta Kama 10yrs amerudi na nguo zake tu yani hadi huruma Hana chchte alichofanya na Kuna mwngne alipata scholarship France akarud shoga kabsa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yaani mtihani. Kuna ile mtoto unafanya machafu vile upo mbali na wazazi ila ukirudi nyumbani upo kama kondoo lakini yeye hakuficha chochote kuanzia mavazi nywele yan ovyo ovyo. Mtoto anarudi utasema kuna msiba nyumban kumbe mtoto katoka canada. Tunasubir arudi tena sijui atakuja na hali gani kwani baada ya kuambiwa atabaki tz alitishia kujiua hvyo imebidi arudishwe huko akapotee mazima
Maskini wee!!! Duuuh poleee kwa wazazi na ndugu zake.
 
Watoto wakibongo wanaosoma chuo Uganda wengi wanafanya umalaya wazazi muwe makini sana,,,wasichana wakule wengi wamepinda,wezi wanapenda hela hao,Wanafanya chochote wapate hela,Chupi zenyewe hawavai full vimin noma sana na ile miili yao, afu hawa wabongo wakienda ndio wanakua marafiki zao hatar!
 
Kuna huyu mwingine naye ni familia maana wengi kwenye ukoo wameenda canada. Now he is 45+ yan network haisomi kabisa, kula vitu vya tanzania hawezi ni biscut, ma cornflakes na vichocolate. Basi hapa ndio akaekwa kweny kampuni walau asikae tu ndani awe zombie kazi yake ni kufika asubuhi job na kulala mda wa lunch aende akale mbali na wafanyakazi wenzake sijui anahofia kulogwa au vipi au awe na vibiskuti akalie chooni, begi hashushi kamwe mgongoni yani mtihani tupu. Sasa sijui canada ndio imemuaharibu au kuna mikono ya watu
Aisee
 
Back
Top Bottom