Kijakazi
JF-Expert Member
- Jun 26, 2007
- 7,093
- 10,469
Hata wajaribu kubomoa vipi bado Tanzania itabakia na tutakuwa na muda wa kuijenga upya, mifano ipo mingi Duniani, kuna nchi zilipigwa mabomu na kuna majivu wakajipanga wakaokota tofali kwa tofali na kujenga upya leo hii ni nchi tajiri kila mtu anapenda kwenda kuishi huko.
Hivyo hakuna kukata tamaa, hata waongoze miaka 50 kuanzia leo lkn bado siku yetu inakuja, tena inaweza kuwa karibu kuliko unavyodhania.
Never, EVER, GIVE UP - Donald Trump !
Hivyo hakuna kukata tamaa, hata waongoze miaka 50 kuanzia leo lkn bado siku yetu inakuja, tena inaweza kuwa karibu kuliko unavyodhania.
Never, EVER, GIVE UP - Donald Trump !