Frank Mazagazaga
Member
- Sep 11, 2018
- 44
- 58
“Ndoto zako hazistahili gari mbovu.”
Hii ndiyo kauli kuu kutoka kwa mwanafikra kutoka mwaka mwaka wa mbele, anayerudi kuandikia kizazi cha sasa — kizazi kilichojaa ndoto kubwa, motisha kali, lakini miili dhaifu.
"Leo nataka nikushike mkono kwenye jambo linaloonekana dogo sana — lakini ndilo lililowaangusha mashujaa wengi: mwili."
Katika maandiko yake, mwili unafananishwa na gari — na akili ni dereva. Anaeleza kuwa huwezi kufika mbali na ndoto zako ikiwa mwili umechoka, hauna nguvu, au umejaa uchafu wa utaratibu mbovu wa maisha.
Katika dunia ya leo, tunapaswa kujifunza hivi mapema:
●Chakula bora ni siraha ya muda mrefu
●Maji safi ni sehemu ya mwelekeo.
●Kulala vizuri ni mkakati wa mafanikio.
●Kufanya mazoezi si “option”, ni investment ya akili.
●Na kujituliza kimwili ni kujiweka sawa kiroho.
Wengi wetu tunataka mafanikio ya mental clarity, lakini tunasahau kuwa mwili ni msingi wa utulivu wa akili. Tunafahamu "smart work", lakini tunatelekeza "body intelligence". Hatuna muda wa kutembea hata dakika 15, lakini tunataka kujenga kampuni.
Mwanafikra anatuonya:
Ujumbe wa Mwisho:
Na kama unaishi leo, bado una nafasi.
Leo hii, fanya kitu kimoja tu kwa mwili wako: tembea au kimbia kwa dakika 15, fanya pushups 10, au pumzika vizuri.
Sio kwa ajili ya six-pack.
Bali kwa sababu ndoto zako hazistahili gari mbovu.

“Niliona kizazi chenu kikiamka saa 4 asubuhi, kikiishi kwa kahawa na chipsi, kikijaribu kuweka clarity ya maisha wakati usingizi umekwamisha kila mwelekeo.”Katika zama zenu, mlijua sana kuhusu fedha, mlipenda sana motisha, mlitamani sana mafanikio, mlijenga miradi ya biashara, lakini mkashindwa kulala masaa 6 kwa utulivu na wengi wenu mliutelekeza mwili wenu kana kwamba haukuwa sehemu ya ndoto zenu
Katika dunia ya leo, tunapaswa kujifunza hivi mapema:
●Chakula bora ni siraha ya muda mrefu
●Maji safi ni sehemu ya mwelekeo.
●Kulala vizuri ni mkakati wa mafanikio.
●Kufanya mazoezi si “option”, ni investment ya akili.
●Na kujituliza kimwili ni kujiweka sawa kiroho.
Wengi wetu tunataka mafanikio ya mental clarity, lakini tunasahau kuwa mwili ni msingi wa utulivu wa akili. Tunafahamu "smart work", lakini tunatelekeza "body intelligence". Hatuna muda wa kutembea hata dakika 15, lakini tunataka kujenga kampuni.
Mwanafikra anatuonya:
“Kuna ndoto ambazo haziwezi kubebwa na mwili mlegevu. Kuna maamuzi ambayo hayawezi kufikiwa na akili iliyojaa sukari, uvivu, na usingizi.”
Ujumbe wa Mwisho:
Na kama unaishi leo, bado una nafasi.
Leo hii, fanya kitu kimoja tu kwa mwili wako: tembea au kimbia kwa dakika 15, fanya pushups 10, au pumzika vizuri.
Sio kwa ajili ya six-pack.
Bali kwa sababu ndoto zako hazistahili gari mbovu.
“Safari ya ndoto haifikiki mbali kwa gari mbovu.”