Kuna ndugu tulisoma naye, hayupo kabisa kwenye mitandao ya kijamii

 
Mkuu this is so interesting kama ni kweli!

Kama ni chai basi imekaa sukariii sana
 
Wewe mwenyewe umeweka I'd ambayo hata uliosoma nao labda hawakujui.
Weka majinayako kamili,namba za simu,picha yako na majina unayotumia kwenye mitandao ya kijamii kama ig,fb,telegram , X nk
 
Mimi mwenyewe sina picha mtandaoni, accounts zangu zote za mtandao zina majina fake. Nina account facebook lakini ninayo kwa ajili ya shughuli ya kufanya paid ads nayo ina jina fake, instagram nina account ina jina fake, same to X. Mitandao mingine sipo.
Huwezi kupata picha yangu online niliziondoa zote nilikuwaga na picha facebook niziondoa zote 2019 na baada ya muda hata kwenye google search zikapotea.
So, huenda yupo lakini kwa majina mengine.
 
Wanateseka sana mpaka mabichwa yanaongezeka upana ma jobless jobless.
 
Chai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…