Si wawili tena bali mwili mmoja.....Vipi msiba Wa mume au mke huwa unaonekana kugusa kuliko Wa ndugu Wa karibu kama wazazi nk..?(sorry wote ambao they lost there love ones)
Kuna siri gani katika bondi hii
carnte himself
Vipi msiba Wa mume au mke huwa unaonekana kugusa kuliko Wa ndugu Wa karibu kama wazazi nk..?(sorry wote ambao they lost there love ones)
Kuna siri gani katika bondi hii
carnte himself
Nimekubamba tena! Wachumba wako? Nadhani si sahihi hilo neno, uchumba kwa sisi waTanganyika ni hali ambayo mmeshautambulisha uhusiano wenu kwa wazazi/walezi na familia ikiwa ni pamoja na mahari kulipwa.Mmmh!haya mambo ni kuomba yasitokee kabisa ila ndio haiwezekani
Mi nashukuru wachumba zangu wote hakuna hata mmoja niliyesikia amefariki