Kuna Nguvu ya Mungu kati ya mume na mke...?

Kuna Nguvu ya Mungu kati ya mume na mke...?

carnte

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2017
Posts
362
Reaction score
425
Vipi msiba Wa mume au mke huwa unaonekana kugusa kuliko Wa ndugu Wa karibu kama wazazi nk..?(sorry wote ambao they lost there love ones)

Kuna siri gani katika bondi hii

carnte himself
 
Vipi msiba Wa mume au mke huwa unaonekana kugusa kuliko Wa ndugu Wa karibu kama wazazi nk..?(sorry wote ambao they lost there love ones)

Kuna siri gani katika bondi hii

carnte himself
Si wawili tena bali mwili mmoja.....
Kupoteza mwenza ni sawa na kupoteza sehemu ya mwili wako lazima ikuumize zaidi!
 
Kwa maoni yangu huo ni msiba mkubwa sana. Na mara nyingi anayebaki kama hana support ya nguvu hachukui muda mrefu naye hufariki kwa upweke hasa kama ni ndoa ya muda mrefu.

Vipi msiba Wa mume au mke huwa unaonekana kugusa kuliko Wa ndugu Wa karibu kama wazazi nk..?(sorry wote ambao they lost there love ones)

Kuna siri gani katika bondi hii

carnte himself
 
Nakumbuka mke wangu alifariki 2011,mtoto alifariki jumatano na yeye ijumaa,nyumba nzima nilibaki peke yangu,
usiombe yakukute,taswira yake imeanza kupotea 2016,mpaka sasa bado kama namuonaaa,we acha tu
yasikie kwa watu.
 
Ukweli wenyewe thamani ya mke au mume ni zaidi ya mzazi hasa kama uliyemuoa au kuolewa ulikuwa unampenda
 
Mmmh!haya mambo ni kuomba yasitokee kabisa ila ndio haiwezekani
Mi nashukuru wachumba zangu wote hakuna hata mmoja niliyesikia amefariki
 
Mmmh!haya mambo ni kuomba yasitokee kabisa ila ndio haiwezekani
Mi nashukuru wachumba zangu wote hakuna hata mmoja niliyesikia amefariki
Nimekubamba tena! Wachumba wako? Nadhani si sahihi hilo neno, uchumba kwa sisi waTanganyika ni hali ambayo mmeshautambulisha uhusiano wenu kwa wazazi/walezi na familia ikiwa ni pamoja na mahari kulipwa.

Hata hivyo, imekuaje tena uwe na msururu kwa 20's years of age?
 
Msiba wa mama uliniuma zaidi.
 
Back
Top Bottom