Kuna nguvu ya ziada Babu Talenti anaitumia sio bure kwa kweli.

Huyo Mzambele hakuwahi kuwa mwajiriwa wa wcb,alikuwa fan tu wcb kama wengine...kazi yake yeye ilikuwa kumanage group za wcb whatssap basi,hakuajiriwa!!

Halafu Qboy amemsema Sallam,na Qboy alikuwa anataka kuwa msanii kupitia ujanja ujanja kwa jina la WCB,watu wakamwambia achague moja,kuwa stylish au kuimba!!

Muulizeni hela za mshahara za walinzi ziko wapi?!!
 
uliosema ni kweli mkuu maana diamond wa 2015 sio wa 2017 kila siku graph inashuka.ndo ubaya wa ustaa hawa iweje utashuka tu .so ni vizuri kutumia muda wako vizuri ukiwa kileleni

Mbona alikiba tangu 2004 huko sinderela hadi leo anafanya tour huko duniani au imekaaje hii?
 
Mbona khasim mganga anaendelea kuwika tu.
Jiulize mb doggy mziki wake wa sasa na wazamani utasikiliza upi?
Pingu na desso walikuwa wanabeba bebwa tu sawa na temba anavyobebwa angejichanganya akaondoka tmk naye angekuwa kama KR
 
Kwani wanamuziki wote bongo waliofanikiwa lazima walikuwa chini ya babu talenti
Labda ungesema wasanii wa TIP TOP ndio amehakikisha wamefulia baada ya kutofuata masharti yake ya unyonyaji
Kama uko nje ya mzunguko wake wala hawezi kukudhuru
 
Tale nuksi sana yani

Mimi kama shabiki nguli wa mondi huwa sifurahishwi yeye kuwa karibu na tale.
 
Sio kweli ,wengi wao wanakuwa wapo kwenye peak kama kawaida lakini wakiachana na jamaa tu nyota zao zinafifia ghafla
 
Kwani wanamuziki wote bongo waliofanikiwa lazima walikuwa chini ya babu talenti
Labda ungesema wasanii wa TIP TOP ndio amehakikisha wamefulia baada ya kutofuata masharti yake ya unyonyaji
Kama uko nje ya mzunguko wake wala hawezi kukudhuru
Ndicho nachomaanisha yani ukiwa chini yake halafu ukaachana naye unapotea mazima
 
Sawa labda kama ulivyosema alitaka kuwa msanii kupitia mgongo wa wcb!
Hivi ile kazi ya kuwa stylish pale wcb alikuwa na mkataba?Kwasababu toka 2010 amamdesign diamond kwanini hamkumpa mkataba?
Suala la kufanya mziki kupitia mgongo wa wcb unataka kusema ile collabo yake na rayvanny ambayo diamond nae yupo mwisho ni kwenye video alitaka kusema ilitoka kinyemela bila maafikiano?
Kama lengo ni kusaidiana kama vijana mlimwambia masuala ya kodi akakataa kulipa?
Na je, kama sababu ni hiyo mtu uliyefanya nae kazi for almost seven years hilo tu ndio umuondoe kwa kumwambia nenda nyumbani baada ya wiki mbili utaitwa halafu ikawa mazima
 
Qboy aliajiriwa wcb,ana mengi sana ameyafanya ila management haijataka kumpa kiki tu kwasababu tunajua anachotaka!

Diamond ana huruma sana,angeamua Qboy arudi wasafi angerudi tu!!ila watu walishamchoka,aende akawaibie wengine huko!maisha yakimshinda atarudi kwao Burundi,na alichokuwa anapewa na Diamond hawezi pewa na msanii yeyote yule Bongo hii ndio maana analalamika sana!!

Ameshalipwa mafao yake,maisha sio lazima WCB!!Kazi yake anaweza kufanya kwa msanii yeyote yule kama anavyofanya kwa Young Dee,makosa ni yake mwenyewe!!

Tunamtakia maisha mema huko aliko na aendako,sio lazima WCB
 
Ha haaaa haaaa unasema aliajiriwa WCB wakati tale kwenye interview yake alikataa kama Jamaa hakuwa mwajiriwa wa wcb!
Na juzi nimemsikia yeye mwenyew qboy anasema hakuwa mwajiriwa wa pale?
Ila nimefurahi majibu yako inaonekana nawewe unatetea ugali wako hapo WcB!
 
Nadhani Q boy yeye mwenyewe alikuwa tatizo. Utafanyaje kazi kwa mshahara menu kuvaa na starehe bila mkataba.

Sijui majukumu ya Tale na sallaam ni yepi naona kama kuna kazi moja watendaji wawili.
 
Aliyeweza ku survive bila pamoja na kufanyiwa figisu ni Alikiba pekee ndo maana mziki wake unasonga
 
Mondi mchawi sana na familia yake ..Tale akasome...Zari amemshusha Mondi
 
Alishasema uchawi upo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…