Kuna nguvu ya ziada Babu Talenti anaitumia sio bure kwa kweli.

Kuna nguvu ya ziada Babu Talenti anaitumia sio bure kwa kweli.

Huyu Jamaa inaonekana ana roho ya kwanini!
Kwasababu nilisikiliza mahojiano ya yule designer wa diamond licha ya kuwa hakumtaja direct ila inaonekana yeye ndio aliyemuwekea ngumu!
Yupo mwingine anaitwa Alma's mzambele naye wanalalamika kama tale ndio tatizo!
Huyo Mzambele hakuwahi kuwa mwajiriwa wa wcb,alikuwa fan tu wcb kama wengine...kazi yake yeye ilikuwa kumanage group za wcb whatssap basi,hakuajiriwa!!

Halafu Qboy amemsema Sallam,na Qboy alikuwa anataka kuwa msanii kupitia ujanja ujanja kwa jina la WCB,watu wakamwambia achague moja,kuwa stylish au kuimba!!

Muulizeni hela za mshahara za walinzi ziko wapi?!!
 
uliosema ni kweli mkuu maana diamond wa 2015 sio wa 2017 kila siku graph inashuka.ndo ubaya wa ustaa hawa iweje utashuka tu .so ni vizuri kutumia muda wako vizuri ukiwa kileleni

Mbona alikiba tangu 2004 huko sinderela hadi leo anafanya tour huko duniani au imekaaje hii?
 
Wakuu nahisi huyu ndugu babu talent kuna nguvu ya ziada anaitumia si bure.

Nimejaribu kufatilia kwa karibu kabisa wasanii waliokuwepo chini yake na baadaye kwa namna moja au nyingine wakaachana naye hasa kuachana naye katika mazingira ambayo sio mazuri ,wengi wao kama sio wote wanapotea kabisa kwenye ramani ya mziki na hawasikiki tena ,ngoja nikutolee mfano wa wanamuziki waliokuwepo chini yake na baadaye wakaachana naye na kupotea mazima ;

1)MB Doggy

View attachment 511251huyu jamaa alikuwa na ngoma kali sana kama vile Latifa ,Si uliniambia ,Sagablasha nk lakini baada ya kuachana na mzee talent tu basi akapotea mazima kwenye mziki .

2)Z _Anto

View attachment 511252huyu jamaa alitamba sana na ngoma kali kama vile binti kiziwi ,Jini jini,nk lakini baada ya kukorofishana na tale basi huo ndio ukawa mwisho wake wa muziki ,alipoachana na tale Z _ANTO alihamia kwenye kuimba taarabu ambako alizidi kujichimbia kaburi lake kwenye ramani ya mziki na mwisho wa siku hata aliporudi kwenye kuimba bongo fleva bado hakufanikiwa kufanya lolote lile .

Mbali na Z anto wengine waliopotea kwenye mziki ni kama vile

3)Pingu na mwenzake Deso

4)Spark

5)PNC ingawaje mwanzoni alijitahidi lakini baada ya muda akapotea mazima.

Hivyo basi napenda kutoa angalizo kwa bwana mdogo Diamond Platinumz awe makini sana na huyu jamaa kwani wakiachana tu jamaa hatotaka faida alizokuwa anapata kipindi yupo na mondi mwengine azipate hivyo basi atafanya juu chini kumpoteza mondi

Huu ni mtazamo tu naweza kuwa nipo sahihi au lah

Hivyo kwa namna moja au nyingine ningependa nisikie/kuona mawazo kutoka kwenu wanajamvi wenzangu.
Mbona khasim mganga anaendelea kuwika tu.
Jiulize mb doggy mziki wake wa sasa na wazamani utasikiliza upi?
Pingu na desso walikuwa wanabeba bebwa tu sawa na temba anavyobebwa angejichanganya akaondoka tmk naye angekuwa kama KR
 
Kwani wanamuziki wote bongo waliofanikiwa lazima walikuwa chini ya babu talenti
Labda ungesema wasanii wa TIP TOP ndio amehakikisha wamefulia baada ya kutofuata masharti yake ya unyonyaji
Kama uko nje ya mzunguko wake wala hawezi kukudhuru
 
Huyu Jamaa inaonekana ana roho ya kwanini!
Kwasababu nilisikiliza mahojiano ya yule designer wa diamond licha ya kuwa hakumtaja direct ila inaonekana yeye ndio aliyemuwekea ngumu!
Yupo mwingine anaitwa Alma's mzambele naye wanalalamika kama tale ndio tatizo!
Tale nuksi sana yani

Mimi kama shabiki nguli wa mondi huwa sifurahishwi yeye kuwa karibu na tale.
 
Kila mtu huwa ana kilele katika mafanikio yake. Na ukishafika katika kilele, either ukazane ubakie hapo kwa muda ama ushuke chini.

Ndivyo ilivyotokea kwa wasanii ambao unawazungumzia. Kuanzia kwa Z Anton mpaka kwa MB Doggy, huenda nyakati hizo ndizo kilele cha mafanikio yao kimuziki.

Hata kama Tale angeliendelea kuwa meneja wao, lazima tu wangeshuka.

Vivyo hivyo kwa Diamond, yupo katika kilele ama anaelekea kufika. Baada ya muda naye ataporomoka hata kama Tale na Salaam wataendelea kuwa meneja wake. Ndivyo ilivyo.
Sio kweli ,wengi wao wanakuwa wapo kwenye peak kama kawaida lakini wakiachana na jamaa tu nyota zao zinafifia ghafla
 
Kwani wanamuziki wote bongo waliofanikiwa lazima walikuwa chini ya babu talenti
Labda ungesema wasanii wa TIP TOP ndio amehakikisha wamefulia baada ya kutofuata masharti yake ya unyonyaji
Kama uko nje ya mzunguko wake wala hawezi kukudhuru
Ndicho nachomaanisha yani ukiwa chini yake halafu ukaachana naye unapotea mazima
Huyo Mzambele hakuwahi kuwa mwajiriwa wa wcb,alikuwa fan tu wcb kama wengine...kazi yake yeye ilikuwa kumanage group za wcb whatssap basi,hakuajiriwa!!

Halafu Qboy amemsema Sallam,na Qboy alikuwa anataka kuwa msanii kupitia ujanja ujanja kwa jina la WCB,watu wakamwambia achague moja,kuwa stylish au kuimba!!

Muulizeni hela za mshahara za walinzi ziko wapi?!!
 
Huyo Mzambele hakuwahi kuwa mwajiriwa wa wcb,alikuwa fan tu wcb kama wengine...kazi yake yeye ilikuwa kumanage group za wcb whatssap basi,hakuajiriwa!!

Halafu Qboy amemsema Sallam,na Qboy alikuwa anataka kuwa msanii kupitia ujanja ujanja kwa jina la WCB,watu wakamwambia achague moja,kuwa stylish au kuimba!!

Muulizeni hela za mshahara za walinzi ziko wapi?!!
Sawa labda kama ulivyosema alitaka kuwa msanii kupitia mgongo wa wcb!
Hivi ile kazi ya kuwa stylish pale wcb alikuwa na mkataba?Kwasababu toka 2010 amamdesign diamond kwanini hamkumpa mkataba?
Suala la kufanya mziki kupitia mgongo wa wcb unataka kusema ile collabo yake na rayvanny ambayo diamond nae yupo mwisho ni kwenye video alitaka kusema ilitoka kinyemela bila maafikiano?
Kama lengo ni kusaidiana kama vijana mlimwambia masuala ya kodi akakataa kulipa?
Na je, kama sababu ni hiyo mtu uliyefanya nae kazi for almost seven years hilo tu ndio umuondoe kwa kumwambia nenda nyumbani baada ya wiki mbili utaitwa halafu ikawa mazima
 
Sawa labda kama ulivyosema unataka kuwa msanii kupitia mgongo wa wcb!
Hivi ile kazi ya kuwa stylish pale wcb alikuwa na mkataba?Kwasababu toka 2010 amamdesign diamond kwanini hamkumpa mkataba?
Suala la kufanya mziki kupitia mgongo wa wcb unataka kusema ile collabo yake na rayvanny ambayo diamond nae yupo mwisho ni kwenye video unataka kusema ilitoka kinyemela bila maafikiano?
Kama lengo ni kusaidiana kama vijana mlimwambia masuala ya kodi akakataa kulipa?
Na je, kama sababu ni hiyo mtu uliyefanya nae kazi for almost seven years hilo tu ndio umuondoe kwa kumwambia nenda nyumbani baada ya wiki mbili utaitwa halafu ikawa m
Qboy aliajiriwa wcb,ana mengi sana ameyafanya ila management haijataka kumpa kiki tu kwasababu tunajua anachotaka!

Diamond ana huruma sana,angeamua Qboy arudi wasafi angerudi tu!!ila watu walishamchoka,aende akawaibie wengine huko!maisha yakimshinda atarudi kwao Burundi,na alichokuwa anapewa na Diamond hawezi pewa na msanii yeyote yule Bongo hii ndio maana analalamika sana!!

Ameshalipwa mafao yake,maisha sio lazima WCB!!Kazi yake anaweza kufanya kwa msanii yeyote yule kama anavyofanya kwa Young Dee,makosa ni yake mwenyewe!!

Tunamtakia maisha mema huko aliko na aendako,sio lazima WCB
 
Ha haaaa haaaa unasema aliajiriwa WCB wakati tale kwenye interview yake alikataa kama Jamaa hakuwa mwajiriwa wa wcb!
Na juzi nimemsikia yeye mwenyew qboy anasema hakuwa mwajiriwa wa pale?
Ila nimefurahi majibu yako inaonekana nawewe unatetea ugali wako hapo WcB!
 
Nadhani Q boy yeye mwenyewe alikuwa tatizo. Utafanyaje kazi kwa mshahara menu kuvaa na starehe bila mkataba.

Sijui majukumu ya Tale na sallaam ni yepi naona kama kuna kazi moja watendaji wawili.
 
Aliyeweza ku survive bila pamoja na kufanyiwa figisu ni Alikiba pekee ndo maana mziki wake unasonga
 
Mondi mchawi sana na familia yake ..Tale akasome...Zari amemshusha Mondi
 
Wala sio uchawi ni akili tu nyingi anazo, ametengeneza system fulani ya menejimenti na kila anaekuja anataka aifate hiyo hiyo matokeo yake wanakuwa watumwa wa taleism . Hakuna meneja ataefanikiwa kumzidi Tale na Fella mpaka waje na system yao ya menejimenti.
Alishasema uchawi upo
 
Back
Top Bottom