Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kwanza matokeo vipi leo na stand utd?
Hii ndiyo Club tajiri kwa hapa Tanzania. Najiuliza wamepatwa na nini? Uwanja wanao mzuri tu.
Pesa na matunzo mazuri wanayo. Tatizo ni nini?
Aliondoka mwenyewe yule.Azam pale kuna figisu tena sana tu nani wa kuamin HALL aliondolewa pale kwasababu ana uwezo mdogo?
Kesho watamuoshea nyota Yeboyebo 3 - 1Hii ndiyo Club tajiri kwa hapa Tanzania. Najiuliza wamepatwa na nini? Uwanja wanao mzuri tu.
Pesa na matunzo mazuri wanayo. Tatizo ni nini?