Kuna nini cha ziada kwa matunzo haya ya mbwa?

Kuna nini cha ziada kwa matunzo haya ya mbwa?

Mkuu,ukiangalia hizo clip kwa umakini utagundua kua hilo ni kama tangazo la biashara kwa mtu anayesupply hizo bidhaa zote za Mbwa unazoziona kwenye hizo clip,

"All product used linked in my Bio"
Inawrzekana unachokisema ila mkuu ukiingia kwenye page ya Insta ya huko bidada ndio utashuhudia hiyo ni zaidi ya promotion ya hizo bidhaa. Kuna video nyinginezo hilo jibwa linapewa mibusu ya kutosha baada ya kukunwa kunwa, na kuogeshwa. Hapo lazima kuna la ziada
 
Unadhani uongo? Hivi unadhani wewe unaweza kumshinda mbwa kulamba hiyo kitu?😀
Kwa hiyo kuna uwezekano ile chumvi chumvi yeye anaifurahia balaa? Haki kwa lile liji ulimi lake siwezi kumshinda kabisa
 
Mbwa ndio mnyama msiri sana kuliko wanyama wote, anaona mengi usiku lakini haongei wala kutoa siri kwa aliyeyaona..

Binafsi nilikuwa nawachukia mbwa ila nilipotembelea nchi za wenzetu ndio nikaja kugundua dhamaniya mbwa kwa binadamu..


Mbwa sio mnyama wakufungwa wakukosa nyumbani kuwepo
 
Majadiliano yanakwenda nje ya mada.
Hii ni mada ya matunzo ya mbwa oli asimshambulie binadamu.
Actually mbwa ni by nature syncophant. "Syncophant" nadhani tafsiri yake ni "chawa".
 
Mimi nina mbwa wawili, sijafika kuwapa matunzo haya anayopata REIGN ila natamani niweze siku moja.
 
Back
Top Bottom